Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

As long as hiyo so called system inaundwa na binadamu, na hao binadamu wanaitegemea ili kuweza kiendesha maisha yao (mshahara), na ina mfumo flani wa uongozi ambapo kuna mkubwa na mdogo, siwezi kuiamini kwamba eti sijui inatunza amani na kuabudu utaifa.

Binadamu ni selfish by nature. Hao watu wa so called system watatimiza haja zao kabla ya haja za taifa.
 
Kuna watu wanaabudu ujinga nji hii,
Hiyo system ilikuwa wapi 60 yrs umasikini bila kuingia ucbumi wa chini Kati,

Mbona hiyo system haifanyi Wana wa nchi hii kuwa miongoni mwa watu wenye furaha duniani?
 
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.

Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.

Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!

System hailali wala kusinzia!

System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !

Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!

Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!

Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!

Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.

Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.

UPDATES:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19

KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!

#Heshimakwakitengo
Mkuu umeandika nini!! Kwa manufaa ya wengi unaweza rephrase maelezo yako?
 
Hahahaaa. Lugha potofu hii

Sio SYSTEM, ni INSTITUTION. Ambapo ndani yake kuna idara nyingi.
 
Kuna watu wanaabudu ujinga nji hii,
Hiyo system ilikuwa wapi 60 yrs umasikini bila kuingia ucbumi wa chini Kati,

Mbona hiyo system haifanyi Wana wa nchi hii kuwa miongoni mwa watu wenye furaha duniani?
Malengo yao si kuondoa umaskini wala ujinga. Bali kulinda "interests" zao. Moja ya kazi kuu ni kulinda nguvu za idara mbali mbali za serikali katika utekelezaji wa majukumu yao;
1. Kuchunguza maadili ya viongozi.
2. Kufuatilia mienendo ya watumishi na miradi nk
 
As long as hiyo so called system inaundwa na binadamu, na hao binadamu wanaitegemea ili kuweza kiendesha maisha yao (mshahara), na ina mfumo flani wa uongozi ambapo kuna mkubwa na mdogo, siwezi kuiamini kwamba eti sijui inatunza amani na kuabudu utaifa.

Binadamu ni selfish by nature. Hao watu wa so called system watatimiza haja zao kabla ya haja za taifa.
Basi umechukulia poa sana hii taarifa.

Watumishi wake wanapitia mafunzo baada ya kukidhi vigezo. Pia semina mbali mbali kwaajiri ya project maalumu ikiwa hakuna mtumishi anaefikia weledi wa "special project"

Wanalipwa vizuri, wanapewa nyezo na vitendea kazi zote; pia wanaapa kutumikia maslai ya waajiri wao.
 
Aha! Maslahi ya waajiri wao. Umemaliza mwenyewe.
 
Haiwezi kugawanyika hata siku moja, kwanza yenyewe haiamini, ila NAABUDU UTAIFA. Ila aliyeko madarakani ndio hufaidika na system ( DEEP STATE )
Inaweza kugawanyika kwa maana ya "mitazamo tofauti ya watumishi".

Bahati nzuri haiwezi vunjika kwasababu utendanji kazi wao haujawapa nyenzo hiyo. Wanadadisi na kuchunguza, pia kudadavua na kuandika mapendekezo yao.

As long as kiongozi mkuu anaenenda katika mapendekezo yao hakuna haja ya kuvunja system.

Ni sawa na kumpa mtoto uchaguzi asome wapi ili aondoe ujinga; Feza Boys ama Tanganyika International School. Hawezi sema sitaki shule baba.
 
Nchi ina uongozi sivyo? Kwahiyo effectively uongozi wa nchi ndio mwajiri wao, na wameapa kutumikia maslahi ya viongozi wa nchi.
Swadata.

Bahati mbaya siku hizi miiko na utaratibu unakuja baada ya maslai ya viongozi.

Mara chache sana idara itamkatalia kiongozi asipate anachotaka kupitia taasisi iliyoshikilia "SYSTEM"
 
Sawa. Tumekubaliana.
 
Inaweza kugawanyika kwa maana ya "mitazamo tofauti ya watumishi".

Bahati nzuri haiwezi vunjika kwasababu utendanji kazi wao haujawapa nyenzo hiyo. Wanadadisi na kuchunguza, pia kudadavua na kuandika mapendekezo yao.

As long as kiongozi mkuu anaenenda katika mapendekezo yao hakuna haja ya kuvunja system.

Ni sawa na kumpa mtoto uchaguzi asome wapi ili aondoe ujinga; Feza Boys ama Tanganyika International School. Hawezi sema sitaki shule baba.
Laaah sitaki nizame ila National Security Council inapotoa uchambuzi na kuelekeza, wao wanafuata kilicho elekezwa tuu, kujenga wazo na kuliboresha kiutendaji, na unapokea kutenda sio kutafsiri, hito siyo shuguli yako, suala ni kifikia kufikia matakwa.

Wewe unatakiwa kuomba mahitaji ya kufikia matakwa, kama ni watu, fedha au chochote kile. Kama Gen. Mbuge alivyomjibu magufuli, JESHI HALISHINDWI.

Utekelezaji wa maamuzi ya DEEP STATE, ni wewe au ukijijua au hapana. Na yenzo yeyoye ile inatakikana ndani ya Taifa hili. Iwe msaada kutoka Jeshi, Police, Magereza, Immigration, Ardhi, Maji Bahari na kitu kingine chocho kinacho ama msikitini ama kanisani mradi kipatikane ndani ya nchi hii,

Na kuondoa (eliminate ) kizuizi chochote ambacho kinaweza kikafanya hilo jukumu lisifaniwe kama linavyo takiwa( precision).

Utii usio gawika na huwezi kuwa mwenzao kama utii ni wamashaka (isolated) kutengwa vile itakavyo onekana inafa, sio lazima ubaki hai.

Kwa heri.
 
Nchi ina uongozi sivyo? Kwahiyo effectively uongozi wa nchi ndio mwajiri wao, na wameapa kutumikia maslahi ya viongozi wa nchi.
Sio maslahi ya viongozi, ni maslahi ya taifa. Lakini nyumba ikitulia kiongozi wa wakati huo ndio hufaidika.
 
Laaah sitaki nizame ila National Security Council inapotoa uchambuzi na kuelekeza, wao wanafuata kilicho elekezwa tuu, kujenga wazo na kuliboresha kiutendaji, na unapokea kutenda sio kutafsiri, hito siyo shuguli yako, suala ni kifikia kufikia matakwa.

Wewe unatakiwa kuomba mahitaji ya kufikia matakwa, kama ni watu, fedha au chochote kile. Kama Gen. Mbuge alivyomjibu magufuli, JESHI HALISHINDWI.

Utekelezaji wa maamuzi ya DEEP STATE, ni wewe au ukijijua au hapana. Na yenzo yeyoye ile inatakikana ndani ya Taifa hili. Iwe msaada kutoka Jeshi, Police, Magereza, Immigration, Ardhi, Maji Bahari na kitu kingine chocho kinacho ama msikitini ama kanisani mradi kipatikane ndani ya nchi hii,

Na kuondoa (eliminate ) kizuizi chochote ambacho kinaweza kikafanya hilo jukumu lisifaniwe kama linavyo takiwa( precision).

Utii usio gawika na huwezi kuwa mwenzao kama utii ni wamashaka (isolated) kutengwa vile itakavyo onekana inafa, sio lazima ubaki hai.

Kwa heri.
Naona unawaimbia pambio kabisa.

Lakini mambo yasipoenda sawa lazima wakosolewa. Tena naamini ni vizuri kuwakosoa maana wana utambuzi na ufahamu wa kusikiliza pia kubadilika tofauti na wabunge wachumia tumbo.

Bahati nzuri hadi walipofikia tayari kuna watu wamewekwa kukosoa na kurekebisha ikiwa lolote linaenda mlama.
 
Unanivuta nizame, asante inatosha.
 
Back
Top Bottom