chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,112
- 1,494
mtoa mada, unaleta story za kijiweni, za wahuni kujadiliwa na wenye akili, huwezi pata mawazo
system huwa haieleweki milele na milele Amina...ni jumapili ya matawi leo.Mkuu ni muda sijaona post yako hilo ndilo nilikuwa namaanisha hayo mengine ya system si mjuzi sana
Ila ambacho nataka kujua hiyo system ni nini katika lugha ya kawaida ma kazi zakeni ni zipi? ili sisi watu wa pale msoga barabara ya jakaya waelewe.
system ina uwezo mpana mkuu wangu!
Mkuu si kwamba napinga ulichoandika,mimi binafsi natambua uwepo wa system,lakini naamini umeandika opinions zako na si zote ni facts,mimi pamoja na kutambua uwepo wa sysytem kama wewe tofauti ya mimi na wewe ni kwamba mimi naamini amani inaletwa na Mungu kwanza.Mungu akiondoa amani sehemu, hata system ikifanya chochote haiwezi,kama ambavyo system inafanya kazi zake pasipo kuonekana.Mungu alianza zamani yeye haonekani ila kazi zake zinaonekana.Nataka nikusahihishe kidogo usinogewe sana mpaka ukamsahau Mung.Jiulize,kama system ndiyo zinazotupatia amani ,vipi Misri machafuko yalitokea,kama ni system zinaleta amani vipi September 11 ilitokea.Kwa hiyo pamoja na kuwepo kwa system ,Mungu ndiye anayezipatia nchi amani kwanza,unadhani Syria hawana system au yao ni ovyo yetu ni nzuri lakini vipi mbona wameingia kwenye matatizo.There is something bigger than system,simanishi naiponda system lakini nataka ujue kuna system iliyoko juu ya hizo system unazozisema wewe nayo ni system ya Mungu.Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !
Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!
Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!
Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!
Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.
Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
[HASHTAG]#Heshimakwakitengo[/HASHTAG]
Chadema iniamini Acacia badala ya KitengoSystem yetu ipo kwa ajili ya kulinda watu Fulani na chama Cha Mauaji si kulinda Taifa.
System inatakiwa ijitathmini kama ifanyavyo ndiyo sahihi.
Ukiona mtu ana amini katika "kitengo" badala ya nguvu ya umma ni wazi upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !
Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!
Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!
Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!
Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.
Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
[HASHTAG]#Heshimakwakitengo[/HASHTAG]
We ndio kilaza kila kitu siasa sahau hizi hoja zenu za kisiasa kwenye system nazani hadi bungen mlijaribu kuwabeep ila system sio wa ivyo akili zenu wanasiasa mnachowazahii nchi kweli ya ajabu na ina watu wenye fikra za ajabu.
kwa hiyo kwenu nyie sisitimu kufanya kazi ni kulinda maslahi ya chama kimoja na mafisadi?
vyama vingine havichangii kodi ya kuendesha hivyo vitengo?
kwani akishinda mtu wa chama kingine imani itapotea au hawataweza kulinda hiyo amani?
ndio maana wananchi tunawachukia na ole wenu ccm tukishaitoa madarakani, mtarudi vijijini kulima viazi.
yaani badala ya kulinda amani ya nchi na mipaka yake wako busy kulinda wezi!!!
ndio maana nchi ina wahamiaji haramu wengi na wengine wamepewa vitambulisho vya kura na passport za tz.
Tatizo la kurecruit watu wenye IQ ndogo na kuwapa kazi nzito.
wanawaza matumbo yao tu
Chadema iniamini Acacia badala ya Kitengo
Jackbauer
Long time broo nini mbaya na wewe upo? Karibu bana wao wana pesa sisi tuna Mungu na akisema Ndio hakuna wa kumpinga.
Habari za muda mrefu mkuu!Mkuu mimi naifahamu system yetu vizuri tu.
Mwaka 1995 kwenye kampeni ya uchaguzi wa uraisi, chama cha NCCR mageuzi ambacho ndicho kilikuwa chenye nguvu kubwa, kilikuwa na mzee Lyatonga, pembeni kulikuwa na Mabere Marando na pia kulikuwa na Masumbuko Lamwai, hawa wote waliunda NCCR wakitokea kwenye system.
Nafahamu system ilicheza michezo hii tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe, lakini sasa system imeamua kubadilika kuendana na wakati.