Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

514AD8B6-58AD-4BC8-8212-5027C30FF2FB.jpeg
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

View attachment 2361757
Ki africa Al hilal ni kubwa kuliko Yangaa !! Mimi ni mwananchi lakini hapo sawa tu ! Tutawapiga watatoka

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? 😪😪

View attachment 2361757
Karia atakuwa anahusika masta...tumpe lawama zake🤣🤣
 
Simba mnatabu sisi tunaanza na huyo na tuna malizia tarehe 23 na piga mbae wako na kumalizia Sudan na wewe.
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

View attachment 2361757
Mbona mnalialia kwani nyie mmejipangaje......
Au nd mnabuku tu!!!
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

View attachment 2361757
 
Shukrani huleta maongezeko. Manung'uniko yatatuletea mikosi.
Mkuu acha timu ijipange, malalamiko tupo kuleee!
 
Hivi hujionei aibu mwanaume mzima wanaYanga wametulia unakuja hapa unajifanya mwanaYanga ili mradi tu watukanwe. Nyie jamaa ndio maana huwa mnapenda kujiliza liza sana mnatafuta tu sababu ili mradi kuonesha Umbumbumbu.

Aya tushajua we Mbumbumbu
Wacha kumshambulia kwa mawe mwa Yanga mwenzako
 
Sisi kama wana Yanga inatubidi tuende tukawashitaki CAF kwa mama...na ikishindikana kwa mama tutakwenda FIFA moja kwa moja...
 
Yanga mwaka huu tumepewa vibonde angalia Timu za Nigeria huko zote wamepewa Wydady na ndugu zake hao Wasudani wa kawaida sana sema wana fitina za waarabu weusi inachotakiwa mechi ya nyumbani kushinda goli nyingi...
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

View attachment 2361757
Kuanzia home hakuna ubaya..

Na hakuna guarantee kua ukianzia home ndio lazima utoke.

Jwaneng galaxy alianzia home akamtoa Simba.

Kaizer chief alianzia nyumbani akamtoa simba..

UD SONGO alianzia nyumbani akamtoa simba..

Tuwe na subira Makolo,Muda ni mwalimu mzuri sana maana hata Pre season ya Yanga mliiponda Lakini mwisho wa siku ikawa hivi.

20220918_111805.jpg
 
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini?

Mbona wenzetu simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu?

View attachment 2361757
Wa upande wa kushoto wpte hapo wanatoka. Amini kwamba
 
Hivi nyie jamaa mbona mna u kike sana tangu jana mnakuja na threads za kijinga jinga issue ya Yanga kwenda first round imewauma sana hakuna mwana Yanga yoyote alie lalamika kuanzia nyumbani sasa hivi mmegeuka kuwa wana Yanga
 
Back
Top Bottom