Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

Mbona watu hawataki kusema ukweli? JPM hakuvunja mkataba bali alikataa kuongeza mkataba though DG wa Tanesco ali sign MoU ya ku extend mkataba,hii ilisababisha na yy atumbuliwe maana ilikua haileti maana ku extend mkataba wa megawatt 100 while una mradi wa kinyerezi II wa Megawati 240 ambao unakua commissioned soon.
And let be known MoU is a non legal binding agreement. Sijajua Symbions wanalipwa kwa ground zipi.
Hii inchi inakosa uzalendo kwakua tu kuna watu hawana uchungu na pesa za wanaichi or wananufaika kwa namna moja ama nyingine na malipo haya.
 
Bila Decree ya Mahakama hiyo fedha isilipwe.

Na ikilipwa tutajua tu kuwa inakwenda mifukoni mwa watu.
 
Soma contents, Symbion said they were seeking ......, hiyo ni taarifa tu! Gives us the facts of the case , case itself and the ruling/judgment! Na kama ndivyo kwa nini Serikali inakimbilia kulipa bila ku- appeal?! The answer for my question is very simple! " INSIDE JOB WELL DONE"!
But mind you, there comes a time where no stone will be left unturned!
 
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada katika sekta ya Nishati nikaanza kutilia shaka uwezo wako ambao nasema frankly uko overrated!

Makala zangu kuhusu hayo maamuzi yako ya uundaji wa Bodi ya TANESCO na kukimbilia misaada kutoka Marekani ziko humu JF unaweza kuzi- retrieve ukitaka.

Kama nilivyodokeza kwenye Heading ni kwamba tunakutahadharisha ( nasema tunakutahadharisha sisi "like minded people") kuhusu hili la mazingira mnayojenga ya kuilipa Symbion Tshs.bilioni 356 za Watanzania!

Mhe.January toka mwanzo nilikwambia kuwa hii wizara ya Nishati kwa zaidi ya miongo mitatu ndiyo imekuwa " cash cow" kwa wapiga deals kubwa hapa Nchini kuanzia "dubious deals" za IPTL, RICHMOND,DOWANS, TEGETA ESCROW etc.

Na wewe Mhe. January ulipoingia tu Wizara ya Nishati ukaanza na " escape velocity" , tumeona haraka ukawapa wale wahindi contract ya management software ya dola milioni 30 ( karibia bilioni 70 za Tz)! Mchakato wa zabuni hiyo haueleweki!

Tumeona sasa kwa muda wa miezi kadhaa umeme umekuwa ni katika katika! Ukihojiwa na Wabunge na wananchi unasema wanaohoji hawakupenda Mhe.Samia awe Rais wa JMT!

Suluhisho mlilotoa hivi majuzi baada ya kuondoa mambo ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa Tshs.27,000/= kama alivyoacha Hayati Magufuli ni sasa kampuni binafsi kuruhusiwa kuwaunganishia wananchi umeme.

Na tunajua kupitia Makampuni yenu hayo mtawaunganishia Wananchi umeme kwa bei tunazoita " cut throat prices "! yaani bei za kukata koo za wananchi!

Hili la Symbion kulipwa Tshs.356 bilioni nalo tuliona mlianza kulijengea mazingira mapema tu baada ya ripoti ya CAG kutoka.

Tunaojua ku- connect dots tukaona mercenary soldier (askari wa kulipwa) wenu Zitto Kabwe akaanza kwa kumkashifu Hayati Rais Magufuli kwa kila namna! Mara Rais fisadi ever kuwahi kutokea Tanzania, Mara wanaompenda wakajizike pembeni yake Chato ( aibu sana kwa mnafiki huyo)!

Sasa leo mnakuja na maneno ya kijinga ( nasema kijinga siyo kipumbavu) eti Symbion walipwe bilioni 356 kwa kuwa Hayati Magufuli alivunja mikataba yao kinyemela!
Halafu kwa ujinga mnaweka na mapicha eti walishindwa kulipa hadi Wafanyakazi!

Mhe.January Makamba kaeni mkijua kama alivyowahi kusema Hayati Rais Magufuli kwamba Watanzania si wajinga! Nami nakazia kuwa Watanzania wote si wajinga!!

Tunakuomba Mhe.Waziri January Makamba tuambie sisi Watanzania kabla humjawalipa Symbion bilioni zetu 356 ni Mahakama gani hiyo ime- adjudicate na kusema Mkataba wao ulivunjwa kinyemela na kuwa- award hiyo decree mnayokwenda kuwalipia hiyo bilioni 356!!

Tunaomba Namba ya hiyo Case nasi tuweze kujiridhisha na kama kuna grounds za Appeal tuweze kushauri!

Na kama mtawalipa bila kuwa wazi basi hizo mtakazolipa ni fedha zenu si za Watanzania na mkae mkijua IPO siku mtazirejesha !!!
Pamoja na kwamba umeandika kishabiki Sana na ki attack mtu ila kuna haja ya kufahamu je symbion walienda lini mahakamani na hukumu ya kulipwa ikatoka?

Hilo la kuunganisha umeme naliunga mkono kwa asilimia 500%,, afadhari tulipe hiyo cut throat price ila tuunganishiwe fasta kuliko ilivyokuwa hapo nyuma unalipa rushwa na unasubiria miezi au mwaka ndio upate umeme..
 
Soma contents, Symbion said they were seeking ......, hiyo ni taarifa tu! Gives us the facts of the case , case itself and the ruling/judgment! Na kama ndivyo kwa nini Serikali inakimbilia kulipa bila ku- appeal?! The answer for my question is very simple! " INSIDE JOB WELL DONE"!
But mind you, there comes a time where no stone will be left unturned!
Sawa ya symbion ilikuwa ina seek,sasa vipi Kuhusu hao standard chartered bank mlishawalipa deni zao au mnasubiria waje kushika mali zetu tena?

Dawa ya deni ni kulipa,usikute ndio maana mindege imepaki tuu Kisa deni hilo deni,kwa hiyo serikali ilipe Ili mambo yaende Lee...

Mwendazake alivunja kimakosa na Kwa hiyo kama inazuia mambo mengine ya Nchi dawa ni kulipa deni.
 
Sujui mama Samia anamlipa fadhila mtu? Uteuzi wa huyo jamaa na timu nzima kule nishati ni utata mtupu. Anyway, Marekani ndio mkoloni / beberu la Tanzagiza.
Dawa ya deni ni kulipa,mandege mumenunua yamepaki hampewi access kwa sababu za ujinga wa sukuma gang..

Hizi case ndio Lisu alikuwa anasema Nchi itashitakiwa miga.
 
Msoga ni mtu wa hovyo, mlafi na mbinafsi asiye na chembe ya UZALENDO. Hivi watanzania tumerogwa MAGUFULI ALISEMA DHAIHIRI NIKIOONDOKA SIJUI NANI ATAFANYA HAYA...
Wewe na Magufuli wako ni wapumbavu na majizi kwa mgongo wa Uzalendo..

Mzalendo wako alitusaidia nini cha maana cha kuongeza thamani ya maisha ya mliyekuwa mnamuita mnyonge?
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, hizo Bilioni ni madili ya watu tu, hakuna cha symbion wala nini.

Wanajaribu kuwadanganya Watanzania kwa kisingizio hicho, lakini hizo fedha zote zitaingia mikononi mwa MBWA MWITU wasio na huruma hata kidogo kwa Watanzania.

Mbaya zaidi ni kwamba, ule mnyororo wa UFISADI alioukatakata JPM umeunganishwa upya na sasa wapo kazini kufidia miaka 5 ya JPM ambapo walishindwa kuiba.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
 
Anahusika yeye na zitto wakati wa kusaini mkataba wa symbion kipindi cha JK...kama leo serikali inaamua kulipa symbion wahusika wote walioshiriki kuasisi na kusaini huu mkataba mbovu watajwe na wachukuliwe hatua kali kama wahujumu uchumi ..ni ukweli kwamba kama serikali isingevunja huu mkataba hasara ingekuwa kubwa kuliko hii


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uvunje mkataba wakati unajua utakula hasara kubwa? Huu si ndio uhujumu uchumi?

Mliambiwa muwe mnatumia akili nyie mnatumia makalio na msuli,matokeo yake ndio haya sasa..

Hata Barrick wakiamua kwenda mahakamani mtawalipa damages vile vile.
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, hizo Bilioni ni madili ya watu tu, hakuna cha symbion wala nini.

Wanajaribu kuwadanganya Watanzania kwa kisingizio hicho, lakini hizo fedha zote zitaingia mikononi mwa MBWA MWITU wasio na huruma hata kidogo kwa Watanzania.

Mbaya zaidi ni kwamba, ule mnyororo wa UFISADI alioukatakata JPM umeunganishwa upya na sasa wapo kazini kufidia miaka 5 ya JPM ambapo walishindwa kuiba.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
Unfortunately huwezi justify hii allegations yako..

Ila binafsi napenda pesa hata iende kwa watu binafsi mnaosema wanapiga dili kuliko zilivyokiwa kwa sukuma gang maana wengine hakuna tulichofaidi zaidi ya umaskini kuongezeka..

Hakuna Rais alikuwa mjinga kama Mwendazake, pengine wenzetu mlionufaika nae ila binafsi alicause damage kubwa Sana.

Imagine hadi chanjo za watoto wachanga zilipotea achilia mbali condom,hii ni mifano midogo tuu hapo sijataja wizi na unyanyasaji waliokuwa wanafanya wateule wake.
 
Back
Top Bottom