Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Kwa serikali hii ni kama kutwanga maji kwenye kinu kuchukia ufisadi. Leo bi tozo anadai wazungu walivyoona misitu wacha wamkimbilie na deal za carbon trading.
Miaka yote watu wanapiga kelele humu ata huo uwekezaji wa green technologies in Africa ni part ya hizo hizo carbon trading otherwise hakuna mzungu mwenye akili timamu atakuja kuwekeza ivyo vitu africa, kibaya zaidi hizo cost za uwekezaji unaenda zilipa wewe mtanzania. TANESCO awawezi zi cover hizo costs ata wao wenyewe kupata faida shida sasa kwanini wana sign mikataba ya aina hiyo wakitoka nje ya nchi.
Hii nchi bila ya Magufuli mwingine tena mkali zaidi kushinda Magufuli original tu atuendi; kuna watu awataki kubadilika na hapo ndio kwenye vita kubwa zaidi.
Watanzania tunachukulia vitu poa sana.