Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,045
- 16,178
Ohoooo.....Wabeja kulumba nkoi
Ohoooo.....Wabeja kulumba nkoi
Atakuwa Maharia sasa....Nawavumilia namshukuru Mungu pia mwanaume wangu hajiiti baharia😓
SawaPaschal kaoa
HahahaJF ya leo. hakuna mwenye akili JF nzima kama Pascal Mayalla
Nakubaliana nawewe.Kha! jamani. kisa nimemsifia Pascal? Sema tu hata wewe kimoyo moyo unamkubali huyu mkuu, yuko vizuri kichwani. Pia hata ukifuatilia thread zake, nyingi ziko njema halafu anayoongelea hasa ya kisiasa anakuwa kama vile ame predict
Mbona majibu mengi...! Lipi sahihiHii no gari ya usalama wa viongozi ambayo kazi yake kubwa ni kuzuia mawasiliano yaani inafanya cm zina jam unajua kina mabomu ya jufyatuliwa kwa cm sasa hii gari ukiwa maeneo ilipo cm zinajam hazifanyi kazi na hata kupiga haziendi mtandao unakuwa busy
The Tanzania Communications Regulatory Authority, established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania.
Gari sikuizi zinatengenezewa kofiaHiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Kwa sauti ya kiyahudi teh teh nimecheka sanaMkuu niliyoandika nimeandika
Inspired by Pontius Pilate the Roman Governor of Judaea appointed by TiberiusKwa sauti ya kiyahudi teh teh nimecheka sana
😀😀umenikumbusha jeuri ya pilato, tena ndio wiki yake hii.Mkuu niliyoandika nimeandika
wakati,jf inaanza anza miaka ya mwanzoni, humu walijaa intellectuals, watu wenye upeo wanaojitambua, hivyo swali lolote lililokushinda majibu ulikua na uhakika wa kupata msaada jf. Ila tangu hiki kizazi cha 90 na 2000 kianze kushika smartphone, ni upupu tu unaochangiwa humu.Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Umeeleza kitu sensitive brooKWA kifupi kabisa na kwa Lugha rahisi, hicho kifaa kinaitwa RADAR.
Hii ni miongoni mwa radar ya aina yake, Mara nyingi hutumika na maagent wa Serikali ktk shughuli za ulinzi NA Usalama, e.g, law enforcement agents, polices, secret security agents, digital communications regulatory authorities, military personnels, etc.
Radar kama hizi Mara nyingi zaidi hutumika ktk shughuli za UDUKUZI au UJASUSI, hususani kuhusiana na mawasiliano ya KIMTANDAO, huwa vinakuwa ktk form ya "StingRay devices". Mara nyingi ktk nchi mbalimbali duniani haviruhusiwi kumilikiwa NA watu binafsi, isipokuwa state agents only.
Kazi zake ni (baadhi tu, kutegemeana NA radar yenyewe):-
1.Phone Tracking
2.Phone Tracing
3.Radio locating, waves transmission, multiplexer functions, etc.
4.Surveillance activities, e.g. audio and video surveillance covert operations, bugging, etc.
5. AOB
NB: Nowadays there are some more devices that are much smaller, portable and mobile which perform the similar functions, most of them are disgused in the form of mobile phones/handsets, they are many in our streets now.Take care!!
Hizo gari zenye huo mtambo zinatumiwa na watu wa TCRAHiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.
Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.
Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371