Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

Hiyo ni Satellite dish, ndiyo maana mnaambiwa ni ya waandishi wa habari hiyo gari ni TBC.
 
Asante sana mkuu hili darasa tosha
 
Sorry mkuu usinichoke, kwa hiyo kupitia hilo gari, wakijua mtumiaj haramu wanazima Yale mawasiliano yake au wana mkamata kwanza kama ushahidi wa kizimban?
 

Paschal kaoa
 
Huo ni mwamvuli wa gari, mvua ikiwa inanyesha wanautumia kufunika gari isiloane tena hiyo ni teknolojia inaitwa mpitimbi shamba la nyege ilivumbuliwa kariakoo
 
TCRA motor van it help on traffic communication or when there is less pressure to connect but even tracking you close.

nimejaribu πŸ˜‚.
 
Sheria iko wazi kitendo cha kutumia au kuingilia mawasiliano ni jinai...na wao TCRA kwa kushirikiana na vyombo vya dola wanakuweka ndani kama utakutwa ukitumia masafa bila wao kukupatia/gawia...zingatia pia kwamba hayo masafa hugawiwa kimataifa ndio maana hao TCRA wana uanachama kwa niaba ya Tanzania kwenye taasisi mbalimbali za kimataifa za mawasiliano kama vile ITU https://www.itu.int/en/Pages/default.aspx, EACO, CRASA nk...kwa hiyo masafa hutumii tu ilimradi...ni lazima TCRA wakupe.....ndio maana unasikia sehemu fulani masafa ya redio FM yamejaa kwa mfano hii ni kutokana na uwezo wa mitambo kama huo ambayo inajua sasa hapa huwezi kuongeza njia nyingine ya safa laa sivyo utasababisha matatizo ikiwemo interference nk
Sorry mkuu usinichoke, kwa hiyo kupitia hilo gari, wakijua mtumiaj haramu wanazima Yale mawasiliano yake au wana mkamata kwanza kama ushahidi wa kizimban?
Wakikudaka wanazima na ku cease mitambo yako...juzi nilikuwa boko kuna jamaa walimdaka alikuwa na karedio pori
 
Sijawahi kujjua ni kitu gan
 
Ni kweli huyu jamaa anajua mambo ila siku hizi amekuwa too biase, wakati mwingine anashindwa kudhibiti mizani yake jambo ambalo pia laweza kumshusha kwa Ma-great Thinkers (GT) lakini kujua anajua mambo mengi
 
Vehicle mounted satellite antenna. Ni kwa ajili ya kurushia matangazo/ mawasiliano kwa njia ya satellite. Inaweza kuwa simu, TV au radio.
 
Hii no gari ya usalama wa viongozi ambayo kazi yake kubwa ni kuzuia mawasiliano yaani inafanya cm zina jam unajua kina mabomu ya jufyatuliwa kwa cm sasa hii gari ukiwa maeneo ilipo cm zinajam hazifanyi kazi na hata kupiga haziendi mtandao unakuwa busy
 
Asante sana mkuu nimekuelewa vakutosha
 
Pasikali mbona mwepesi tu we subiri wiki ijayo anaenda kuomba msamaha kwa niaba ya walima korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…