sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
![]()
![]()
![]()
ndio maana kanapendwa sana nasikia hata kakitoa hewa chafu ni kama manukato
![]()

KwaniniWema na upole wake vinamponza
Kaka mshana jr, huyu ngekewa sifa sake ni zipi hasa maana umesema hata simba hapo haoni ndani, wengine tupo gizani
Naaaammmm Mkuu huyu ndo mnyama ambaye ni rafiki kwa asilimia kubwa ya wanyamaNaambiwa ni mpole mkimya na mnyenyekevu sana
Kwenye ulimwengu wa roho si kila binadamu ni binadamu na si kila mnyama ni mnyama anayeonekana kwa macho... Kuna viumbe wa kila aina wanaovaa maumbo mbalimbali kulingana na mahitaji yao ama ya wanaowamilikimshana jr najuwa hili ni fumbo umetuwekea ili tulijadili, ila sasa sie wengine si wachawi. Naomba tu nikuulize, hao wanyama ni binadam wa kimazingira au? Yaani kwa sie tusio wachawi tunaona wanyama na ndege ila kwenu nyie wataalm mnaona ukweli halisi, yaani misukule ikiota jua. Je, ni kweli au?
Rafiki wa wanyama kasoro Chui...Naaaammmm Mkuu huyu ndo mnyama ambaye ni rafiki kwa asilimia kubwa ya wanyama
Kwenye ulimwengu wa roho si kila binadamu ni binadamu na si kila mnyama ni mnyama anayeonekana kwa macho... Kuna viumbe wa kila aina wanaovaa maumbo mbalimbali kulingana na mahitaji yao ama ya wanaowamiliki
Ndio maana unaambiwa wanyama wote ni ndugu, uadui sijui ulianzaje …
Nahisi kuukumbuka huu wimbo, sijui ni kwaya ya wapi vile…!Kuna wimbo unasema..... Na wanyama wataangamia kwa dhambi zako eeh mwanadamu... Way back 1985 .....
Nilitaka kusema hivyo, sema sikuwa na uhakika, daaah we jamaa kweli longi sanaSauti ya injili Arusha nadhani