Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,742
- 7,431
Kwa apa Tanzania anapatikana mkoa au hifadhi, mapori yapi?Wasiliana na serikali upate kibali
Kwa apa Tanzania anapatikana mkoa au hifadhi, mapori yapi?Wasiliana na serikali upate kibali
Basi wale samaki watakufaa sana, kawavue tu![]()
![]()
umri ushasonga ndugu yangu.... Lakini ni kuanzia usoni tu mpaka kitovuni baasi.... Huku kwenda chini ni new brand kabisa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi hata meno yameanza kutoka moja moja, ila chini kamba imekaza kama uzi wa gita sauti nyembamba…
Ngekewa wapi huyo ni nguruwe mkuu.Mshana huyo si ndiye Ngekewa?
Wewe utakuwa wa miaka hii hiiNgekewa wapi huyo ni nguruwe mkuu.
Niliangalia haraka mkuu nikaona kama nguruwe baadaye nikatambua kuwa siyo,ngekewa.Ujue wanarelate sana.Wewe utakuwa wa miaka hii hii
Ina maana hata mimi nikijifunza kutoka kwake naweza kuwa kama yeye?Wema na upole wake vinamponza
Ahsante sana mkuu bnana Mshana jr nitajifunza kutoka kwake toka sasa nimependa mno mfumo wa maisha yake ni zaidi ya mfalmeNdio unaweza kabisa Sifa kubwa ikiwa ni upole kujali kutojikweza kutokasirika wala kulipa visasi
Unyenyekevu ndio Sifa yake kubwa

Ana majina mengi, ngekewa, mkuu wa meza, mbuzi catholic nkNiliangalia haraka mkuu nikaona kama nguruwe baadaye nikatambua kuwa siyo,ngekewa.Ujue wanarelate sana.
Ndo najua leo kama kna mnyama anaitwa ngekewaDuh ila kakaa kama ngangaripoa
Gheri ni nini mkuuTunaendelea wakuu..wakat wale maaskar wa yule mfalme wanchi nyingine wanamuingiza gerezan yule mfalme,,mguu wake ukawa unavuja maji kutokana nakile kidonda ambacho kililala kina kua kinatoa kama majimaji yaliyochanganyika nadam yakawa yanaacha alama kwenye sakafu.ghafla wale walinz wakastuka wakasema mbona anajeraha? Wakarudi haraka kwamfalme waka mwambia,anajeraha huyu mfalme na miongon ya mashart yetu hatumchinji mtu mwenye jeraha.mfalme akawaambia,,mmemtoa wapi huyu mtu mwenye jeraa?mtoen hapa mbele yang namikosi yake mrudishen mliko mtoa.bas wale walinz wakamrudisha.mpaka mpakan wakampa nafaras wake.mfalme akaenda mpaka kwenye ufalme wake akawaamrisha wale walinz wamtoe yule mlinz.akamuuliza uliniambia imekua gheri mm kuumia kwel leo nimeamin najee ww uliponiambia imekua gher ww kuingia gerezan ulimaanisha nn?yule mlinzi akamwambia usingeniweka gerezan leo tungesafir wote kama ulivozoea namm sikua na jeraha hivo tungevuka mpaka mm ningebaki ningechinjwa kwasababu sina jeraha.mfalme akapata funzo kubwa sana nass pia tupate funzo kwamba kila likupatalo au ulionalo bas imekua nigher wala usijiskie vibaya..kila jambo likitokea imekua gheri