Hiki ni kipawa

Hiki ni kipawa

Mshana huyo si ndiye Ngekewa?
Naombeni kujuzwa kwa kirefu kuhusu huyu mnyama.
Anapatikana wapi?
Tabia zake
Je Anakiwa?
Sifa anazopewa ni kweli?
Na mshana umesema hata Simba haoni ndani kwake,umemaanisha nini?
Naomba kujua
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Naombeni kujuzwa kwa kirefu kuhusu huyu mnyama.
Anapatikana wapi?
Tabia zake
Je Anakiwa?
Sifa anazopewa ni kweli?
Na mshana umesema hata Simba haoni ndani kwake,umemaanisha nini?
Naomba kujua
Hapo nilimaanisha analiwa?
 
Screen+Shot+2016-03-31+at+3.40.52+PM.png

27-57037e2047250__605.jpg
 
Mshana,,,,tuseme innaa lillah wainnaa ilayhi rrajiun.pia ww unayo bado nafas yaupendeleo yakumuombea dua kwan mtume anasema namtoto mwema anaewaombea wazaz wake.pia kuna kisa kimoja takiandika hapa chin.saiv
 
Mshana,,kuna msemo unasema imekua gher kwakila kitu ukionacho nakikutokecho nigher.sasa kisa chenyewe kiko hivi.kuna mfalme mmoja alikua akimpenda sna mlinzi wake naalikua akimuaminnakwenda nae kila mahala.siku moja alikwenda nae kuwinda akiwa yy nafaras na mlinz wake pia anaefarasi.walivofika porin wakampiga swala naupinde wakamfukuza mpaka alipochoka akaanguka yule mfalme wakati anateremka kumfata yule swala ili amchinje akachomwa nakitu chenye ncha kali kikaingia mpka ndan yamguu dam zikawa zinamtoka kwawing yule mlinz wake alipoona vile akacheka sana akamwambia mfalme imekua gheri sana ww kuumia huku akifurahi naakizid kucheka mfalme akamwambia unanicheka mm nakuniambia imekua gher mm kuumia!!!!!.takuja kuendelea nakujua nn kilitokea.
 
Waiting

Tunaendelea mshana nawanajamii.baada yamlinzi kumwambia yule mfalme kua imekua gheri huku akicheka sana yule mfalme alivomwambia imekua gheri mm kuumia?.akasema yule mlinzi ndio mfalme imekua gheri sana.mfalme akamwambia sawa twende nyumban kwahasira yule mfalme alimuacha nayule mnyama kwan alikua ameumia sana.alipofika kwenye makazi yake yakifalme akawaamrisha walinzi wengine wamkamate yule mlinzi wake.akawaambia huyu leo nimeumia amecheka sana naamefurahi mno mm kuumia naamesema imekua gheri.hivo bas mfungen namumuingize gerezan.haraka wale walinz wakamkamata wakamfunga minyororo wakat wanamuingiza gerezan yule mlinzi akamgeukia yule mfalme akamwambia eee mfalme wang nabwana wang imekua gheri mno ww kuniingiza gereza basi hii nigher kubwa.mfalme akawaambia muingizen gerezan kichaa huyo.baslinz wa mfalme akaingizwa gerezan.kesho yake mfalme akaenda mwenyewe kuwinda bila mlinz yeyote baada yakumuweka yule mlinz wake gereza trip hii hakumteua mlinzi yeyote kwenda nae.naalifanya hiv akiwa na jeraha lake.alipofika porin akamfukuza mnyama mwingine wakat anamfukuza huyu mnyama hakua mbali na mipaka ufalme wake hivo alimfukuza mpaka yule mnyama akavuka zone nyingine ambayo sii ya ufalme wake alipovuka2 mipaka ya ufalme mwingine yule mfalme akakamatwa na walinz wa ile nchi aliyovuka.akabebwa chin yaulinz mkal mpaka kwamfalme waile nchi alievuka kimakosa.alipofikishwa kwayule mfalme walinzi wakatoa maelezo namna walivomkamata.mfalme wa nnchi ile akazema imekua gheri sana kwasababu kesho niile sikukuuu ya uhuru wetu nahuwa kwakawaida tunachinja hivo tutamchinja huyu mliemkamata kesho kwenye sikukuu ya uhuru wetu...nakuja kuendelea nahiki kisa subra tafadhal
 
Waiting🙄🙄
 
Tunaendelea wakuu..wakat wale maaskar wa yule mfalme wanchi nyingine wanamuingiza gerezan yule mfalme,,mguu wake ukawa unavuja maji kutokana nakile kidonda ambacho kililala kina kua kinatoa kama majimaji yaliyochanganyika nadam yakawa yanaacha alama kwenye sakafu.ghafla wale walinz wakastuka wakasema mbona anajeraha? Wakarudi haraka kwamfalme waka mwambia,anajeraha huyu mfalme na miongon ya mashart yetu hatumchinji mtu mwenye jeraha.mfalme akawaambia,,mmemtoa wapi huyu mtu mwenye jeraa?mtoen hapa mbele yang namikosi yake mrudishen mliko mtoa.bas wale walinz wakamrudisha.mpaka mpakan wakampa nafaras wake.mfalme akaenda mpaka kwenye ufalme wake akawaamrisha wale walinz wamtoe yule mlinz.akamuuliza uliniambia imekua gheri mm kuumia kwel leo nimeamin najee ww uliponiambia imekua gher ww kuingia gerezan ulimaanisha nn?yule mlinzi akamwambia usingeniweka gerezan leo tungesafir wote kama ulivozoea namm sikua na jeraha hivo tungevuka mpaka mm ningebaki ningechinjwa kwasababu sina jeraha.mfalme akapata funzo kubwa sana nass pia tupate funzo kwamba kila likupatalo au ulionalo bas imekua nigher wala usijiskie vibaya..kila jambo likitokea imekua gheri
 
Back
Top Bottom