Hiki ni kipawa

Hiki ni kipawa

Wacheni kudanganyana. Huyo si ngekewa, huyo ni capybara na anapatikana America ya Kusini kwa wingi. Kwetu hayupo.

Capybaras are farmed for meat and skins in South America.[36] The meat is considered unsuitable to eat in some areas, while in other areas it is considered an important source of protein.[6] In parts of South America, especially in Venezuela, capybara meat is popular during Lent and Holy Week as the Catholic Church previously issued special dispensation to allow it to be eaten while other meats are generally forbidden.[37]

Although it is illegal in som
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Sijawahi kuona jitu maskini la fikra kama wewe,

haya na MBOGO kule marekani wanamuitaje? Na NYATI je?Pia kuna Digi digi, Swala, Ndezi pia Kuna kamdudu sisi kwetu tunakaita PIMBI kenyewe kalikuwa kanataka kufanana na SUNGURA au NDEZI lakini nilipokutana mtu wa mkoa tofauti akanitajia jina lingine kabisa ambalo sikuwahi hata kulisikia, pia kuna mnyama mwingine anaitwa MWANGA (sio mwanga wa Taa wala wale wanaochezea watu usiku) huyu anaishi kwenye mapango ya mawe na huwa analala mchana usiku anawinda, ni mkubwa kuliko Beberu la Mbuzi na hana kwato anamakucha marefu ambayo muda wote huwa yapo nje

N.B;
Inatakiwa ujue kwamba kila kitu/kiumbe kina jina tofauti kulingana na eneo/mahali husika

Halafu usipende kuingiza DINI za watu wakati ya kwako inakushinda kama unataka watu wafuate imani yako tumia Aya hii kwenye
altAmrZSPGlStMhShe74H_5EIBI8haKDJVnq4ZE-B0omHM0.jpg
 
Huyo mnyama haishi Tanzania atakuwaje na jina la hapa kwetu?

Weka ushahidi wa picha kuwa yupo Tanzania ili tuwasute wana sayansi wote wanaosema mnyama huyo yupo America ya Kusini pekee na pia anafugwa kwa wingi kwa nyama na ngozi yake. Unajuwa maana ya kufugwa?

Ukishindwa kuweka ushahidi kuwa yupo Tanzania ujuwe wewe ni punguani na shule ulienda kusomea ujinga.

Huwa sikisii.

Hayo ya watu kufata imani yangu yamekujaje hapa?

Mwenyezi Mungu hafatwi kwa kuwa FaizaFoxy kataka. Ni wewe mwenyewe amma unabaki kuabudu binaadam amma unaabudu Mungu asiyezaa wala kuzaliwa.
 
Huyo huku hafugwi,ila anapatikana porini, week ijayo nitatembelea wilaya ya kilosa kuna kijiji kinaitwa ibwange nitafika huko kisha nitakuja na uthibitisho

Pia huyo kwenye avatar ni wewe?

Una umri gani?

Nijibu kwanza hayo maswali kisha tuendelee
 
Pia una uhakika gani kwamba haishi Tanzania? Au kwa kuwa wazungu ndo wamekukaririsha hivyo basi ndo umeamini!? Pia epuka kuleta udini kwenye mada zisizohusu Dini, kama vipi unaweza kwenda kule kwenye jukwaa la Dini

Nijibu kwanza hayo maswali kisha tuendelee
 
Huyo huku hafugwi,ila anapatikana porini, week ijayo nitatembelea wilaya ya kilosa kuna kijiji kinaitwa ibwange nitafika huko kisha nitakuja na uthibitisho

Pia huyo kwenye avatar ni wewe?

Una umri gani?

Nijibu kwanza hayo maswali kisha tuendelee

Umri wangu unahusu nini? Punguani wahed.

Umjuwe wewe tu Tanzania hii?

Weka picha wacha porojo.
 
Kuwa mstaarabu basi na mimi nikikutakana utajisikiaje? Maana wewe ukiona mtu anakuheremea tu kwa kauli chafu unakimbilia kuomba msaada kwa mods, sa sijui unajisikiaje mwenyewe, maana naona akili zako zimetawaliwa na wazungu
 
Hilo tusi nililokutukana liko wapi?
 
Kuniita mimi PUNGUWANI WA HEDI NI KUNITUSI, sasa na mimi nasema, "MALAYA MUUZA **** WEWE", kama wewe ulivyosema "PUNGUWANI WA HEDI",Na mimi hapo sijakutukana
 
Povu tu hilo kwa kuambiwa ukweli.

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom