Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Wema na upole wake vinamponza
Kweli kaka, nina ngozi yake unawateja? Tehetehee
Wema na upole wake vinamponza
Mmh kwa maana hiyo umeua?!!! Hapana kaka naomba nisishiriki hii dhambi
Basi katakuwa kananukia maana sio kwa kupendwa huko aiseehhapana
ndio maana kanapendwa sana nasikia hata kakitoa hewa chafu ni kama manukato
Mzee simba akibipu hapo anapigiwa na halichachi bandoHivi kweli simba amkati huyo ngekewa?
Ujima no.. UjamaaWanaishi maisha ya Enzi za Ujima.
Ujima ni maisha waliyoishi babu zetu Enzi za zana za Mawe.Ujima no.. Ujamaa
Na ujamaa!?Ujima ni maisha waliyoishi babu zetu Enzi za zana za Mawe.
karibu sana mkubwa wangu.Thanks kaka nimerudi Leo
Ni kweli.Dah yamepita aisee trust me kifo hakizoeleki.. Na hakuna nyakati ngumu kama kuangalia sura ya umpendaye sana kwa mara ya mwisho
Anaitwaje huyuu