HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBA

Wacha hizo wewe....ubora wa madhari unayolala una effect kwenye usingizi. Kubali tu ni kizuri yaishe.

Mfano chumba cha Bill Gates, akilala systems zinamonitor mood yake na kuplay mziki utakaomfanya apumzike vyema. Utajilinganisha na wewe umelala nje wanapiga msondo ngoma mtaa wa pili wanafukuza mwizi, baba mwenye nyumba anagombana na wake zake!??? acha kabisa mkuu... Yeye anasema analala 3 - 4 hours na yupo fiti mbaya! wewe fanya hivo uone kama hukondi...
ha ha ha mentor umeua hapo kwenye red, yananikuta karibu kila siku..., usingiz tabu kuupata..
 
HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO




Ngina+Kenyatta+1.jpg

Ngina+Kenyatta.jpg











mbona kama ninacholalia mimi
 
mbona kama changu, ila hico cha huyo dogo hakina flat screen 32" kama yangu, friji , ...halafu huyo dogo mchafu sana...chumba kipo rough tu!

hahaaaaa mkuu, uchafu wake uko wapi? Ila me naona huyo mtoto bonge la mshamba cz kutokana na hadhi yake na chapaa alizo nazo babake hapaswi kulala kwa hicho chumba halafu aje kujisifu kwenye mitandao wakati chumba chenyewe cha kawaiiiiiiiiiidaa sanaaaa..
 
Usingizi ule ule tu hata ukiweka godoro chini usiku haubadiriki kuwa mchana wote mtalala tu na maisha yataenda na kama vyooni asubuhi mtaingia kunya kukojoa ni kulekule pia hakuna atakayetoa roast kuku wala supu ya uyoga.!

Kobe, jifariji mwanangu lakini vibaya kukata tamaa hivyo.
Kumbuka hakuna masikini wa kudumu wala takiri wa kudumu hata wewe iko siku itakuwa yes maana watani wangu wasukuma wana msemo unaotafsirika kama usimdharau anayepumua!
 
wewe unacho cha hivyo, acha ukuda.

Huyu ni mototo wa tajiri, baba yake sasa ni Rais wa nchi, ulitaka awe na kitanda gani? Hicho ni cha kawaida na kinalingana na hadhi yake. Kipoma, mkuda ni huyo aliyepost kama vile ni kitanda cha peponi na mkuda mwingine ni wewe unayekiona kama si cha kawaida kwa status ya huyu binti. Kitanda changu ni cha kawaida kwa status yangu ambacho labda kwako kinaweza kuwa si cha kawaida. Kitanda kama hiki tukikikuta kwa Kipoma, tutajua lazima unauza bwimbwi aka utine bin vufu
 
Back
Top Bottom