HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBA

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,450
33,359
HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO

Ngina+Kenyatta+1.jpg

Ngina+Kenyatta.jpg

Ndo kitanda cha hadhi yake...Anyway hata kama Kenyatta asingekuwa Rais huyo mtoto ana deserve kulala mahali kama hapo maana Mzee anpesa ile laana..
 
mbona kama changu, ila hico cha huyo dogo hakina flat screen 32" kama yangu, friji , ...halafu huyo dogo mchafu sana...chumba kipo rough tu!
 
Usingizi ule ule tu hata ukiweka godoro chini usiku haubadiriki kuwa mchana wote mtalala tu na maisha yataenda na kama vyooni asubuhi mtaingia kunya kukojoa ni kulekule pia hakuna atakayetoa roast kuku wala supu ya uyoga.!

Mmmh! Wivu wa kike huo.
 
Usingizi ule ule tu hata ukiweka godoro chini usiku haubadiriki kuwa mchana wote mtalala tu na maisha yataenda na kama vyooni asubuhi mtaingia kunya kukojoa ni kulekule pia hakuna atakayetoa roast kuku wala supu ya uyoga.!

Wacha hizo wewe....ubora wa madhari unayolala una effect kwenye usingizi. Kubali tu ni kizuri yaishe.

Mfano chumba cha Bill Gates, akilala systems zinamonitor mood yake na kuplay mziki utakaomfanya apumzike vyema. Utajilinganisha na wewe umelala nje wanapiga msondo ngoma mtaa wa pili wanafukuza mwizi, baba mwenye nyumba anagombana na wake zake!??? acha kabisa mkuu... Yeye anasema analala 3 - 4 hours na yupo fiti mbaya! wewe fanya hivo uone kama hukondi...
 
HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYTA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO

Ngina+Kenyatta+1.jpg

Ngina+Kenyatta.jpg

Sio siri pako CLASSIC,enough space and room hata sarakasi unapiga/yoga sijui pilate unapiga misamba yote.
Big windows allows enough light and air which is lovely when you wake up...Uzuri wa chumba sio mapambo mengi,hizo furnitures zipo so traditional...:wink2:,wall decorations looks a little bit VICTORIAN a taste of history..Mi ningefurahi kulala hapo
 
Ana maana yake kusambaza picha ya chumba chake hii inatakiwa mtu awe ana upeo wa juu sana kuelewa alichokusudia ila wazee kama sisi tumeshaelewa fumbo lake
HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO

Ngina+Kenyatta+1.jpg

Ngina+Kenyatta.jpg

Usingizi ule ule tu hata ukiweka godoro chini usiku haubadiriki kuwa mchana wote mtalala tu na maisha yataenda na kama vyooni asubuhi mtaingia kunya kukojoa ni kulekule pia hakuna atakayetoa roast kuku wala supu ya uyoga.!

wanasema hata kitanda cha kamba basi usingizi haupenyi!
 
Wacha hizo wewe....ubora wa madhari unayolala una effect kwenye usingizi. Kubali tu ni kizuri yaishe.

Mfano chumba cha Bill Gates, akilala systems zinamonitor mood yake na kuplay mziki utakaomfanya apumzike vyema. Utajilinganisha na wewe umelala nje wanapiga msondo ngoma mtaa wa pili wanafukuza mwizi, baba mwenye nyumba anagombana na wake zake!??? acha kabisa mkuu... Yeye anasema analala 3 - 4 hours na yupo fiti mbaya! wewe fanya hivo uone kama hukondi...

Really?
 
Back
Top Bottom