blueprint.
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 220
- 62
inapendeza ila sijapenda watu wanavokuwa wanapinga wengine kutoa maoni yao hatuwezi kuwa na msimamo mmoja guys.
MziziMkavu ni dada kwani? Heee ndio najua leoDada mzuri sema unapenda sana kupoteza muda wako ku post upuuzi kama huu sijui kwanini mkuu?
Ana maana yake kusambaza picha ya chumba chake hii inatakiwa mtu awe ana upeo wa juu sana kuelewa alichokusudia ila wazee kama sisi tumeshaelewa fumbo lake
Kwa kuwa inasemekana wazee mna hekima na busara vitu vinavyowafanya kuwa na upeo wa juu sana kuelewa mambo na mafumbo, nakuomba mzee kadakokigondile utufumbulie fumbo hili alililotupa binti Uhuru Kenyata!
MziziMkavu ni dada kwani? Heee ndio najua leo
Wazee wanasema fumbo mfumbie mjinga mwerevu huelewa au bado hujaelewa mjukuu wangu? walimu wetu wa zamani ukimuuliza swali wakati unafanya mtihani anakujibu kwa mafumbo na ukishindwa kumuelewa anakuambia au unataka nikutafunie wewe umeze tuu? kazi kwako
Wacha hizo wewe....ubora wa madhari unayolala una effect kwenye usingizi. Kubali tu ni kizuri yaishe.
Mfano chumba cha Bill Gates, akilala systems zinamonitor mood yake na kuplay mziki utakaomfanya apumzike vyema. Utajilinganisha na wewe umelala nje wanapiga msondo ngoma mtaa wa pili wanafukuza mwizi, baba mwenye nyumba anagombana na wake zake!??? acha kabisa mkuu... Yeye anasema analala 3 - 4 hours na yupo fiti mbaya! wewe fanya hivo uone kama hukondi...
Mbona cha kawaida sana!
Hicho chumba ni sawa tu na cha baamedi wengi mjini.
HIKI ndo KITANDA na CHUMBA ANACHOTUMIA IKULU MTOTO WA RAIS MPYA WA KENYA UHURU KENYATA.PICHA KASAMBAZA MWENYEWE KATIKA MITANDAO
![]()
![]()
Mkuu Jerrymsigwa kuna wanachama wengine hawayajuwi majukwaa ya humu ndani kazi yake ni nini wanapenda kulaumu kam huyu bibi.e@cute_39 hajuwi kuwa ni jukwaa la picha hili kazi yake ni picha tu.MziziMkavu ni dada kwani? Heee ndio najua leo
Eneo la chumba hicho ni sawa na kiwanja chote cha nyumba ya mswahili alichonunua kwa bei ya kupaa Halmashauri! Kwa hiyo tusichekwe wenye vibanda umiza maana Serikali yetu ndo chanzo!
Eneo la chumba hicho ni sawa na kiwanja chote cha nyumba ya mswahili alichonunua kwa bei ya kupaa Halmashauri! Kwa hiyo tusichekwe wenye vibanda umiza maana Serikali yetu ndo chanzo!
Mentor unalala masaa mangapi kwa siku? Mimi nalala 3-4 hours niko bonge niko fit tu, kuchoka ni hadith tu, kitanda changu sio kama Cha Bill mafedha wala Warren Buffet.