Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
vp na kwenye ndoa unapata hizo AAAAAAAA?
 
Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.

Leo nimekudharau sana sikujuwa kama wewe ni mjinga kiasi hiki.

Bakhressa na Billgates wana hata degree?
Mkuu huyo bill Gate hela kwa kiasi kikubwa ameiwekeza kwenye kutatua matatizo ya kijamii kupitia Elimu, tafiti za kisayansi kwake kusoma ni muhimu sana
 
Mkuu ni kweli, kila jambo na wakati wake. Soka la Ulaya limetawala akili za baadhi ya wanafunzi siku hizi, wanawafahamu timu, matokeo, wachezaji hadi umri na wake zao. Kuchanganya na hizi kamari (mikeka) wanajiona wamefika.
 
Hivyo hivyo watu wote si lazima wawe wasomi wa daraja la kwanza . Kama ambavyo si lazima watu wote kuwa matajiri wakubwa.

Lakini bado nakupa hongera kwa kazi ulioifanya. Hawa wa kubeti ni mfumo na utandawazi umewafikisha hapo. Usiwadharau
Concept yake kwenye Uzi ni kuwa watu tufanye kazi Kwa bidiii tusitegemeee miujiza
 
Mkuu Nakukubali sana sana Wewe sio tuu una mabanda Bali una Exposure pia,Pia Nakumbuka Shuleni Jamaa kama wewe walikuwa wanatuchukulia watoto wakali kweli....angalia usije kutuchukulia Wadada wetu wakali wa hapa Jf Mkuu hahaha
Mkuu pia Mwandiko wako naufananisha na lemutuz akili kubwa!
Bahati mbaya mademu huwa sipendi sana
 
Elimu yetu haitujengi kwaajili ya kujiajiri..na hakuna tajiri duniani aliepata utajiri kwa kusoma sana.
IMG-20181207-WA0000.jpeg
 
Nilipata f tatu zingine d ila na uhakika kabisa kwenye kumiliki pesa utakuja kunifikia cku nikifa hapo pia cjui kwa sababu nishaengeneza msingi wa kuziendeleza nikiondoka miongoni mwa watanzania wenye maisha nafuu sikosi top 50
 
Nilipata f tatu zingine d ila na uhakika kabisa kwenye kumiliki pesa utakuja kunifikia cku nikifa hapo pia cjui kwa sababu nishaengeneza msingi wa kuziendeleza nikiondoka miongoni mwa watanzania wenye maisha nafuu sikosi top 50
Hongera kwa juhudi zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom