Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mkuu Nakukubali sana sana Wewe sio tuu una mabanda Bali una Exposure pia,Pia Nakumbuka Shuleni Jamaa kama wewe walikuwa wanatuchukulia watoto wakali kweli....angalia usije kutuchukulia Wadada wetu wakali wa hapa Jf Mkuu hahaha
Mkuu pia Mwandiko wako naufananisha na lemutuz akili kubwa!
Watu wenye mtazamo huo wanafikra potofu. Hata MO dewji amekuza mara dufu biashara ya baba yake baada ya kutoka shule
 
Nina degree moja, master degree is loading...
Na watoto wanakwenda shule
Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.

Leo nimekudharau sana sikujuwa kama wewe ni mjinga kiasi hiki.

Bakhressa na Billgates wana hata degree?
 
Thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwapani tu.

Leo nimekudharau sana sikujuwa kama wewe ni mjinga kiasi hiki.

Bakhressa na Billgates wana hata degree?
Sasa wewe mbona hujawa kama Bakhresa kama unajisifia ujinga?
 
Kama huwezi kukariri kitu huwezi kuwa genius.
Waliwahi kusema Genius ni yule ambaye anameona kile ambacho wengine(wote wameona) wameona ila akafikiri kile ambacho wengine hawakufikiri.,mfano wengi walijua Oxygen huchochea moto, ila alyebuni uungaji vyuma kwa kutumia gas(oxyacetlyne) huyo ndo genius, Tchao,muuza nyanya
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Ww unakuja kuajiriwa na aliyeacha shule
 
Kwa hiyo unataka watu wote wawe matajiri wakubwa
Yaani sie tusiosoma ni kama watu wa QNet au Forever au Alliance in Motion.Mara zote tunaongelea mafanikio ya wasiosoma wengine sio sisi wenyewe.Tunakana Bakhresa mara sijui nani,badala ya kujiangalia maisha yetu yapo wapi.Sie tumejaaa kusubiri utajiri wa miujiza.Ninachokipendea Kwa waliobahatika kupata shule wanajitahidi kuona mahitaji ya Msingi ya familia zao yanapatikana.Wakati tusiosoma tunakazana kujisifu Kwa mafanikio ya wengine.
Wandugu tufanye kazi ili huyu Pepo wa wivu atutoke
 
Ulikuwa vizuri,ila kwa elimu yetu,unaweza kuwa na As,lakini ni mwendo wa kukalili tu,na kuhamishia kwenye paper.
VP hizo As,zimelifrect kwenye maisha,harafu ndugu elimu ya form 4,ni ndogo sana,shahada uligonga VP?na upande wa cash money,una A au F?
Tumpe Hongera pale alipofanya vizuri.Hongera kwako mkuu Kwa kufaulu vizuri
 
Kwa hiyo unataka watu wote wawe matajiri wakubwa
Hivyo hivyo watu wote si lazima wawe wasomi wa daraja la kwanza . Kama ambavyo si lazima watu wote kuwa matajiri wakubwa.

Lakini bado nakupa hongera kwa kazi ulioifanya. Hawa wa kubeti ni mfumo na utandawazi umewafikisha hapo. Usiwadharau
 
Hivyo hivyo watu wote si lazima wawe wasomi wa daraja la kwanza . Kama ambavyo si lazima watu wote kuwa matajiri wakubwa.

Lakini bado nakupa hongera kwa kazi ulioifanya. Hawa wa kubeti ni mfumo na utandawazi umewafikisha hapo. Usiwadharau
Siwadharau kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom