Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

mtoa mada ni wakati sasa wa kumcompliment mkeo na masifa kedekede,unauchunaga sana au unamcritisize sana ,that made her felt unwanted,not sexy......sasa mwambia 'darling una wowowo zuri nataka unichezee peke yangu ndani sio watu wote waone' kama ana akili atakuwa kapata ujumbe:sleepy:

I wish ningezaliwa miaka 70 iliyoisha ili leo ningekua namalizia hiki kibarua kigumu cha kuishi kwenye hii dunia!
 
That only happens to you and your wife it doesn't happen to me and my wide, God forbid, Nigerians says that is abormination ....



Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani anamjua..baadae ukimuuliza ilikuaje amkatikie mauno vile yule msanii,anakujibu eti alipitiwa tu.hivi hii ni halali waungwana?
 
na wewe ungekamatia mcheza shoo wa kike aliyejaaliwa kuliko wote hapo ukafanya mara mbili yake ili aone how it feels..
 
I wish ningezaliwa miaka 70 iliyoisha ili leo ningekua namalizia hiki kibarua kigumu cha kuishi kwenye hii dunia!

You sound suicidal hny. King'asti my wii, njoo tuongee mambo ya kifamilia kuna shida huku!
 
Last edited by a moderator:
na wewe ungekamatia mcheza shoo wa kike aliyejaaliwa kuliko wote hapo ukafanya mara mbili yake ili aine how it feels..
Two wrongs don't make a right.
Kwa vile alisema alipitiwa yaishe
but kaa ukijua ana tabia hiyo...
 
Si muziki tuu, sasa wewe ulitegemea nini atunze mzima mzima au acheze kama mlingoti
 
Jamani nyie si mmeenda sehemu ya starehe
Inawezekana mzuka umepanda amekunwa na muziki , na bado yuko na wewe unahis wivu

pole
 
Kaka problem is not a sex but how to get a beautiful women appropriately for marriage. Pl'se take care and try again to choose best one among the best.(consider attitude,behaviour and her knwoledge)
 
haya ya watoto acha niyaache, mie hata nikicheza, siwezi mkatikia kama panga boi maana miziki yenyewe ni ya akina embe dodo au jojina, sasa hapa uno litakujaje?

Kama mmeenda ngwasuma, shurti pangaboi lishuke.
 
mkuu huyo Mwanamke ni mpenzi wako tu sio mkeo bado hauna hati miliki usilalamike sana alichofanya ni kawaida mbona hata mimi mpenzi wangu tukienda Club hua anaomba acheze na mvulana yeyote mle ndani na mimi hua namruhusu. Kwa sababu kucheza disco mimi sipendi hua nampeleka yeye tu
 
Ila kila mtu na mtuwe aisee. Hiyo Kama akicheza na wewe pia anakata viuno hadharani na unachekelea, unakasirika nini akimkatikia mwanamuziki? Manake Kama anacheza na wewe kwa nidhamu na hafanyi lap dances hadharani, basi isingekuwa dili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom