KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
- Thread starter
- #21
Najua nimefanya ujingaUna uchu kama mbwa kafunguliwa mlango kha ya nn kutosuburia majibu? Ukimwi unakunyemelea.
Lkn ni virahis kukosoa ukiwa huusiki
Najua nimefanya ujingaUna uchu kama mbwa kafunguliwa mlango kha ya nn kutosuburia majibu? Ukimwi unakunyemelea.
Ahsante mkuu....karibuMkuu umeongea kitaalam kabisa nilitaka kutoa maoni hayo ila nikasema ngoja nipitie kwanza mawazo ya wengine.Good
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said manSiku zote mnashauriwa mkapime hospital ili kuepuka mambo kama haya, kwa maelezo na picha uliyoweka umefanya makosa mengi sana, nitaeleza kwa kifupi ;
1. Hukutumia micro pipette ili kupata kiasi cha damu kinachohitajika, ndio maana eneo la kuweka sample limetapakaa damu
2. Nina wasiwasi kama ulitumia special buffer solution au maji ya kawaida, batch number ya test kit ni lazima ifanane na iliyopo kwenye buffer solution, kinyume na hapo kunayafanya majibu yawe invalid
3. Hukujali kabisa muda unaostahili kusubiri kabla ya kusoma majibu
4. Ufahamu wako kuhusu hiki kipimo ni Mdogo ndio maana umeshindwa kutafsiri majibu
Makosa niliyo ainisha hapo juu yanafanya majibu hayo yawe batili
Tujitahidi kuheshimu taratibu zilizowekwa kwenye mambo ya msingi.
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Unaweza kunielezea kuhusu hayo majibSiku zote mnashauriwa mkapime hospital ili kuepuka mambo kama haya, kwa maelezo na picha uliyoweka umefanya makosa mengi sana, nitaeleza kwa kifupi ;
1. Hukutumia micro pipette ili kupata kiasi cha damu kinachohitajika, ndio maana eneo la kuweka sample limetapakaa damu
2. Nina wasiwasi kama ulitumia special buffer solution au maji ya kawaida, batch number ya test kit ni lazima ifanane na iliyopo kwenye buffer solution, kinyume na hapo kunayafanya majibu yawe invalid
3. Hukujali kabisa muda unaostahili kusubiri kabla ya kusoma majibu
4. Ufahamu wako kuhusu hiki kipimo ni Mdogo ndio maana umeshindwa kutafsiri majibu
Makosa niliyo ainisha hapo juu yanafanya majibu hayo yawe batili
Tujitahidi kuheshimu taratibu zilizowekwa kwenye mambo ya msingi.
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Tatizo letu wabongo tunachukulia mambo ki rahisrahisi mpaka yanatucostSiku zote mnashauriwa mkapime hospital ili kuepuka mambo kama haya, kwa maelezo na picha uliyoweka umefanya makosa mengi sana, nitaeleza kwa kifupi ;
1. Hukutumia micro pipette ili kupata kiasi cha damu kinachohitajika, ndio maana eneo la kuweka sample limetapakaa damu
2. Nina wasiwasi kama ulitumia special buffer solution au maji ya kawaida, batch number ya test kit ni lazima ifanane na iliyopo kwenye buffer solution, kinyume na hapo kunayafanya majibu yawe invalid
3. Hukujali kabisa muda unaostahili kusubiri kabla ya kusoma majibu
4. Ufahamu wako kuhusu hiki kipimo ni Mdogo ndio maana umeshindwa kutafsiri majibu
Makosa niliyo ainisha hapo juu yanafanya majibu hayo yawe batili
Tujitahidi kuheshimu taratibu zilizowekwa kwenye mambo ya msingi.
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Ushakufa....Unaweza kunielezea kuhusu hayo majib
Maana kama hali ni mbaya niwahi prep
Kusema niende nae hospital hayo ni ya cku nyingine
Waga nakitumia na waga kinajib vizurSiku zote mnashauriwa mkapime hospital ili kuepuka mambo kama haya, kwa maelezo na picha uliyoweka umefanya makosa mengi sana, nitaeleza kwa kifupi ;
1. Hukutumia micro pipette ili kupata kiasi cha damu kinachohitajika, ndio maana eneo la kuweka sample limetapakaa damu
2. Nina wasiwasi kama ulitumia special buffer solution au maji ya kawaida, batch number ya test kit ni lazima ifanane na iliyopo kwenye buffer solution, kinyume na hapo kunayafanya majibu yawe invalid
3. Hukujali kabisa muda unaostahili kusubiri kabla ya kusoma majibu
4. Ufahamu wako kuhusu hiki kipimo ni Mdogo ndio maana umeshindwa kutafsiri majibu
Makosa niliyo ainisha hapo juu yanafanya majibu hayo yawe batili
Tujitahidi kuheshimu taratibu zilizowekwa kwenye mambo ya msingi.
sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
Kama ni invalidTuache usinzi tumrudie Yesu atuokoe.
Tufikiri zaidi kwenye kuimarisha inner self zetu kuliko body lust.
Ninajua hujaambukizwa maana hicho kipimo kiko accurate zaidi ya unavyofikiri na kinaweza kudetect maambukizi ndani ya siku 28 tu baada ya maambukizi kwa asilimia 97%. Na hapo kinaonyesha majibu ni invalid sio negative wala sio positive but trust me your safe.
Sent using Jamii Forums mobile app
virusi vya HIV vikiwa nje ya cell vinaweza kumalizwa nguvu na kuzuiwa kuingia ndani ya cell but vikishaingia kwenye cell inashindikana coz ukiua cell umemuua mtu...kama ulisoma biolojia kiasi unajua cell ni nini...ndo maana inatakiwa mtu kupata PEP as early as possible baada ya kuwa exposed ili kuwahi virusi kabla havijaingia kwenye cell....But PEP haitolewi kwa watu waliofanya ngono zembe...zipo maalumu kwa matukio ya ajili kama ubakwaji....kama umepata ajari na umeumia na damu imechanganyika na damu nyingine...mtoa huduma wa afya kajichoma bahati mbaya na sindano akiwa katika shughuli zake au matokeo yasiozuilika....So my dia friends kuweni makini tu kuepuka ngono zembe...msipime kwa macho..Kuna suala la kuwa kama umechomwa na kitu chenye ncha kali na kilishatumika na mtu mwenye maambukizi ya HIV au umesex na mtu mwenye HIV kuwa kabla ya masaa 72 kuna dawa unaweza pata kutoka Hospitalini na ikakuponya kutopata maambukizi ya HIV.
Mwenye utaalamu wa hili aje kutuelimisha..!!
Katika standard procedure za upimaji wa HIV....Bioline ndo hicho alichotumia jamaa ambacho ni cha kwanza na endapo baada ya dk 5 za upimaji majibu yakawa positive.....kuna kipimo cha pili cha confirmation kinaitwa UNGOLD then nacho kikiwa positive basi tunaconfirm kuwa ni true positive....but ikiwa bioline imekuwa positive na unigold imekuwa negative basi ndo pale tunasema majibu tata...so most investigation is needed kwa vipimo zaidi.....nawashauri muwe na tabia za kupima hospitali na sio kujipima wenyewe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaaaaa mkuu ulipopima naamini walikupa majibu...au ulisoma mwenyewe ukakimbia? Coz kama walikupa majibu lazima ungejua maana ya non reactive...ni lugha za kitaalam hizo ambazo hatuencourage sana mtu kuzijua sababu mtu anaweza soma majibu akakimbia au akadata kabla hajafika kwa mshauri....ni kama PMTCT 1 and PMTCT 2 mngekuwa mnajua maana yake mngeweza kusoma card za clinic za wake zenu na kujua status zao..lkn tunashauri muende clinic na wake zenu mpime kwa pamoja na kupatiwa majibu kwa pamoja...ila baadhi mnakuwaga wabishi hamtaki kwenda nao...95%maambukizi kwa mama kwenda kwa mtoto yanazuilika endapo baba na mama watapima mapema katika miezi 3 ya mimba....shukrani kwa somo mkuu last week nilipima hosp,majibu walinambia non reactive sasa hapa ningependa kujua ni kipimo gani kilitumika mkuu
Heshima kwako mkuu jimmyfoxxgongo, sikusema muda wa kusoma majibu ni dakika tano, nilichomwambia mtoa mada ni kwamba pamoja na makosa mengine, HAKUFUATA MUDA SAHIHI WA KUSUBIRI KABLA YA KUSOMA MAJIBU, ukimsoma vizuri mtoa mada utagundua alisoma majibu zaidi ya mara moja kwa muda tofauti ndio maana akaishia kuchanganyikiwaMkuu LOCAL SPONSOR umetoa maelezo ya kutosha na mazuri sana lakini kuna tatizo moja hapo juu ya muda wa kusubiri kipimo,
Are you serious kweli ni dakika tano mtu asubiri majibu na baada ya hapo anaweza kusoma wrong positive,
Kama upo serious mkuu your wrong,
Kipimo hicho lazima usubiri si chini ya dakika 10 kusoma majibu na ukisoma mapema kama ulivyoanisha unaweza kuatana na wrong positive recommendend time ni kuanzia dakika 10 na unaweza mpaka kukisoma within one hour,