KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Za kwenu wakuu,
Nikienda moja kwa moja kwenye mada
Ni kuwa jana mchana nilikuwa na msichana
Kwasababu alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabidi niongeze maji kwenye kipimo
Nilivyompima tukaanza kufanya yetu kabla hata majibu hayajaanza kuonesha
Baada ya kama dk5 nikaenda kuangalia nikaona mstari moja upande wa control nikasema fresh tukaendelea
Baada ya kama dk10 kwenda kuangalia nikaona tujimistali tuwili palepale kwenye control ni kama ile control imegawanyika mara 2
Baada ya kama dakika2 tena
kikafutika ikawa kama mnavyoona