Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

The window period is the period between the onset of HIV infection and the appearance of detectable antibodies to the virus. In the case of the most sensitive HIV antibody tests currently recommended, the window period is about three to four weeks.

Antibodies are produced from about three weeks after infection.

(baada ya mtu kupata maambuzi ya HIV mwili unatengeneza antibodies ambazo zinaanza kuonekana kwa wastani wa wiki 3 au nne na kuendelea...kabla ya hapo mtu anakuwa na HIV lakini antibody haiwezi kuonekana endapo atapima kipimo kitakuwa non reactive ...lkn ana uwezo wa kuambukiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry window period ndo nn

Rest In Peace "kweli kwanza"
You are ALMOST(dead).
Taja mrithi kama una mali,
Kama ni kachumba ka kupanga basi kula kabisa akiba yako.
 
Huo mmoja ana ngoma,ingekuwa miwili ni janga ingekuwa red light ipo on.
 
Kipimo cha Bioline kinatoa majibu ndani ya dakika 5...baada ya hapo unaweza pata false positive..ndo maana mnashauriwa kupima hospitali ili mpate na counselling.....unaweza pima dk 5 kikaonesha negative then baada ya masaa kazaa kikageuka kuwa positive...kuna reaction huwa inatokea na kufanya mistari mengine kujitoa....ndo maana hospitali ikitokea kimekuwa positive wanatumia unigold kufanya confirmatory test ...hiyo tabia ya kujipima wenyewe sio njema kabisa..na unamuamini vipi mtu kisa umempima leo...what if akiwa katika window period?

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa unajua
 
It's ok . Usijali we mzima kwa majibu ya Leo. Hatujui window period
 
👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿👿
 
Za kwenu wakuu,

Nikienda moja kwa moja kwenye mada
Ni kuwa jana mchana nilikuwa na msichana

Kwasababu alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabidi niongeze maji kwenye kipimo

Nilivyompima tukaanza kufanya yetu kabla hata majibu hayajaanza kuonesha

Baada ya kama dk5 nikaenda kuangalia nikaona mstari moja upande wa control nikasema fresh tukaendelea

Baada ya kama dk10 kwenda kuangalia nikaona tujimistali tuwili palepale kwenye control ni kama ile control imegawanyika mara 2
Baada ya kama dakika2 tena
04167cff61f3b4551fe2eb64244b8208.jpg
kikafutika ikawa kama mnavyoona
sasa kulikua kuna haja gani ya kupima kama umeshindwa kusubiria majibu
 
na je vp ukipima kipimo kikaleta mstari mmoja ila baada ya masaa 4 kikabadilika na kuleta mistari 2 hapo inakuwaje, kwani kipimo kinatoa majibu sahihi baada dk ngapi wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na je vp ukipima kipimo kikaleta mstari mmoja ila baada ya masaa 4 kikabadilika na kuleta mistari 2 hapo inakuwaje, kwani kipimo kinatoa majibu sahihi baada dk ngapi wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kipimo kina maximum time ya kusoma baada ya hapo hayo tunasema ni “unstable” means ile zinatokea reactions ambaZo Zitapelekea mistari ambayo itaonyesha hata positive wakati hakuna.

Soma majibu kuanzia dk 10 mpaka 20 basi kama unafanya rapid test using sd bioline, thereafter tupa usisome baada ya hapo.

Kwa rapid test hatuna majibu yanayosomwa kwa muda uliotaja, utapata kitu cha kukupa presha ufe bure! Usijaribu
 
Za kwenu wakuu,

Nikienda moja kwa moja kwenye mada
Ni kuwa jana mchana nilikuwa na msichana

Kwasababu alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabidi niongeze maji kwenye kipimo

Nilivyompima tukaanza kufanya yetu kabla hata majibu hayajaanza kuonesha

Baada ya kama dk5 nikaenda kuangalia nikaona mstari moja upande wa control nikasema fresh tukaendelea

Baada ya kama dk10 kwenda kuangalia nikaona tujimistali tuwili palepale kwenye control ni kama ile control imegawanyika mara 2
Baada ya kama dakika2 tena
04167cff61f3b4551fe2eb64244b8208.jpg
kikafutika ikawa kama mnavyoona
Kamanda unaendelea lakini
 
Back
Top Bottom