Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

Hiki kipimo ni kuwa ana UKIMWI au?

Naelewa mkuu,uko sahihi kabisa.lakini point yangu BIOLINE ni Non Specific but UNIGOLD ni Specific though zote ni Rapid tests.

Unaweza ongezea pia kwa jinsi unavyo fahamu,maana AIM ni kueleweshana.
Yes uko Sahihi kabisa zote ni rapid test na Unigold ni rapid but confirmatory test kwa sababu kipo specific....uko sahihi kabisa mkuu....u go extra miles...tuendelee kuelimishana elimu na technologia haina mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa mkuu,uko sahihi kabisa.lakini point yangu BIOLINE ni Non Specific but UNIGOLD ni Specific though zote ni Rapid tests.

Unaweza ongezea pia kwa jinsi unavyo fahamu,maana AIM ni kueleweshana.

Tajiri sawa sawa mkuu napata tabu sana juu ya hii kitu Na nikuwa navutiwa sana na HIV toka nione kama ni hoax(am not sure)

Nakutana na watu tofauti wakubwa sana katika kada ya medicala ila tofauti na yaliyomo kwenye vitabu hawawezi kusema kingine

Natamani sana wale wanaoamini kuhusu hiv kwamba ni uongo wapewe airtime wafanye utafiti wao kwa kushirikiana na wanaoamin then tufikie conclusio

Ila kwa sababu za kibiashara won't happen sasa napaki kupekecha kichwa kila siku

Unaweza ukapiata hapa kuongeza maarifa zaid

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)
 
Za kwenu wakuu
Nikienda moja kwa moja kwenye mada
Ni kuwa jana mchana nilikuwa na mschana
Kwasabab alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabid niongeze maji kwenye kipimo
Nilivyompima tukaanza kufanya ye2
kabla ata majib ayajaanza kuonesha
Baada ya kama dk5 nikaenda kuangalia nikaona mstari moja upande wa control nikasema fresh tukaendelea
Baada ya kama dk10 kwenda kuangalia nikaona tujimistali tuwili palepale kwenye control ni kama ile control imegawanyika mara2
Baada ya kama dakika2 tena
04167cff61f3b4551fe2eb64244b8208.jpg
kikafutika ikawa kama mnavyoona
Majbu tata... Ila kam umemkaza n kumetokea michubuko kwenu wore bs apo hesabu kna kitu asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My friend alipima siku 60 baada ya kufanya ngono zembe akaonekana hana maambukizi kwa kutumia Bioline, kuna uwezekano wa kuonekana ameambukizwa baada ya siku 30 zilizobaki?? As we know window period is 90 days

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha boiline kinauwezo wa kudetect kuanzia siku 28....possibility kubwa(90%) atakuwa negative...aendelee kujilinda tu na ikifika muda akapime tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha Bioline kinatoa majibu ndani ya dakika 5...baada ya hapo unaweza pata false positive..ndo maana mnashauriwa kupima hospitali ili mpate na counselling.....unaweza pima dk 5 kikaonesha negative then baada ya masaa kazaa kikageuka kuwa positive...kuna reaction huwa inatokea na kufanya mistari mengine kujitoa....ndo maana hospitali ikitokea kimekuwa positive wanatumia unigold kufanya confirmatory test ...hiyo tabia ya kujipima wenyewe sio njema kabisa..na unamuamini vipi mtu kisa umempima leo...what if akiwa katika window period?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry window period ndo nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha boiline kinauwezo wa kudetect kuanzia siku 28....possibility kubwa(90%) atakuwa negative...aendelee kujilinda tu na ikifika muda akapime tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajee kama utatumia buffer isioendana ktk series ya utengezaji na ile ya bioline ama unigold. Au usipotumia hayo majimaji, ila ukaweka damu ya kutosha inakuwaje Mkuu.
 
Ajee kama utatumia buffer isioendana ktk series ya utengezaji na ile ya bioline ama unigold. Au usipotumia hayo majimaji, ila ukaweka damu ya kutosha inakuwaje Mkuu.
Kuna uwezekano wa kupata false results...au kupata invalid results...yale maji ya buffer na concentration ya titration vipo kwa makusudi maalum ya kufanya kipimo kiwe more specific...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu waoga waoga ndiyo huwa mnakufa haraka kama kuku wa mdondo!
 
virusi vya HIV vikiwa nje ya cell vinaweza kumalizwa nguvu na kuzuiwa kuingia ndani ya cell but vikishaingia kwenye cell inashindikana coz ukiua cell umemuua mtu...kama ulisoma biolojia kiasi unajua cell ni nini...ndo maana inatakiwa mtu kupata PEP as early as possible baada ya kuwa exposed ili kuwahi virusi kabla havijaingia kwenye cell....But PEP haitolewi kwa watu waliofanya ngono zembe...zipo maalumu kwa matukio ya ajili kama ubakwaji....kama umepata ajari na umeumia na damu imechanganyika na damu nyingine...mtoa huduma wa afya kajichoma bahati mbaya na sindano akiwa katika shughuli zake au matokeo yasiozuilika....So my dia friends kuweni makini tu kuepuka ngono zembe...msipime kwa macho..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba kujua ufanyaji kazi wa arvs je zinaingia ndani ya body cells ama zinashambulia virus walio nje ya cells ??
Na je if yes zinaingia ndani ya cell na kudhoofisha virus multplication je wanashindwa vp kutengeneza dawa ya kuua virus kabisa ikaingia ndani ya cells same apply to Arvs
 
Back
Top Bottom