Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Hahahaha nataka aikague kwanza aangalie kama tunaweza kuifanya iwe kubwa kuliko zote Africa make naona huo ujuzi wa kuzitambua kubwa duniani kabarikiwa. 😅😅
Hata mi naamin yupo na uzoefu wa kutosha,xo czani kama atatuangusha kwnye hilo!!!
 
Hii nayo ni ya Capetown South Africa

images (36).jpeg
 
Hiyo ilikuwepo long time sana Mnazi mmoja, ilikuwa inaitwa lunar park au Waswahili tuliita mabembea walikuwa wanafunga kila mwaka, miaka zaidi ya 30 iliyopita, ...
Zote nilizopost ni permanent. Hizi sio hizo merry go round zinazofungwa mara moja kwa mwaka. Hizi zinajengwa na kukaa hapo milele
 
Mulisaa karibu sana. Umepotea sana Geza Ulole alitudanganya kwamba umefariki. Nafurahi kukuona. Ukitaka kutazama ya USA nenda post #14 utazame Las Vegas eye. Ya Dar Slum ipo kweli?
Akili ndogo ufikili juu ya mambo madogo madogo. Sasa Mimi hiyo inanisaidia Nini? Muwekezaji binafsi yeyote anaweza kuamua kuwekeza kwenye ilo dude.
 
Sasa hivi Jf Kume jaa Wajinga Kutokea Kenya Kiasi Jukwaa la Kenyan news Imekosa Mvuto sana kupelekea watanzania Kusaidia jukwaa
sasa hii nayo Mada da!
 
Hakuna tofauti kijana.
Tofauti yake ni aina ya camera tu. 🤣 🤣 🤣
Ferris wheel inajengwa kwa chuma sio plastiki. Ferris wheel huwa ni kubwa hata kushinda jengo la ghorofa. Pia Ferris wheel lina rooms nyingi ambazo watu sita au zaidi wanaweza kuingia ndani. Hiyo plastiki uliyopost hata kuku haiwezi kutoshea ndani.
 
Back
Top Bottom