Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Ferris wheel inajengwa kwa chuma sio plastiki. Ferris wheel huwa ni kubwa hata kushinda jengo la ghorofa. Pia Ferris wheel lina rooms nyingi ambazo watu sita au zaidi wanaweza kuingia ndani. Hiyo plastiki uliyopost hata kuku haiwezi kutoshea ndani.
Sasa mara chuma mara plastic.
Hapa Funy
DSCN1733.JPG
aaeiqqa.jpeg
City Dar es salaam
 
ni kitu kingine ukifananisha na kipi au cha wapi??
Ferris wheel ina rooms kadhaa ambayo watu wanaingia ndani na kutazama city inavyofanana. Huwa ni refu kama jumba la ghorofa kumi. Ukiwa ndani ya chumba kimoja cha Ferris wheel unaweza kutazama Dar Slum yote.
 
Kwanini huamini kuwa nimeipanda hiyo Ferris Wheel?
 
kichwa yako laini ehh?
Ewe Daudi, wewe ni mmoja wa watu/roboti/ID/bot ambao huwa nawaheshimu sana humu,kulingana na jinsi unavyochangia kila siku humu,sasa sikutarajia maswali kama haya,eehe leo uliamkia upande upi wa kitanda? Au ni gongo umelinywa asubuhi kuu?
 
Ferris wheel inajengwa kwa chuma sio plastiki. Ferris wheel huwa ni kubwa hata kushinda jengo la ghorofa. Pia Ferris wheel lina rooms nyingi ambazo watu sita au zaidi wanaweza kuingia ndani. Hiyo plastiki uliyopost hata kuku haiwezi kutoshea ndani.
Kubwa kuliko ghorofa? Ghorofa gn inayozungumzia ww

Btw, Wakenya wameona tunawapiga bakora kwamba hamna miundombinu wanayo cc hatuna ila cc tuna miundombinu tunayo wao hawana ndo wameleta hutu tudude
 
Hii ni mavi gani umepost hapa? Hata mtu hawezi kutazama nusu ya Dar akiwa ndani. Pia mtu mzima hawezi kutoshea ndani ya hicho kiplastiki. Linganisha hicho kiplastiki cha watoto na hii mashine ya watu wazima ambayo inatumika kutazama Dubai nzima.

View attachment 1590956
Kijana hayo mambo ni ya kawaida sana. Sijajua kwanini unaona big deal.
May be unasumbuliwa na exposure. Huna exposure.
 
That $h!t was in Dar during the 70s.
Wewe unaongea kuhusu Merry go round. The first Ferris wheel was the London eye and it was built more recently. So you are lying. There was no Ferris wheel anywhere in the world in the 1970s. Waongo sana nyie
 
Ewe Daudi, wewe ni mmoja wa watu/roboti/ID/bot ambao huwa nawaheshimu sana humu,kulingana na jinsi unavyochangia kila siku humu,sasa sikutarajia maswali kama haya,eehe leo uliamkia upande upi wa kitanda?....au ni gongo umelinywa asubuhi kuu ?
wala hata usipoteze muda kuniheshimu. sitahili heshima yoyote.
 
Hongereni sana majirani zetu. Sisi hatuna na tutajenga, io kila kitu lazima tubishe tu, vingine tunapongezana tu. Sasa hii na bembea za watoto wapi na wapi?
 
Hii ni mavi gani umepost hapa? Hata mtu hawezi kutazama nusu ya Dar akiwa ndani. Pia mtu mzima hawezi kutoshea ndani ya hicho kiplastiki. Linganisha hicho kiplastiki cha watoto na hii mashine ya watu wazima ambayo inatumika kutazama Dubai nzima.

View attachment 1590956
Boss, This is worth a full Thread? ama ulifika two rivers juzi? find a job bwana you are very idle
 
Back
Top Bottom