Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Hehehehehe kazi kweli kweli kutoka infrastructure mpk technology
Sawa ondoa neno technology kisha uweke neno infrastructure kama hilo neno ndilo linakupa nyege zaidi. Kama tungekuwa kwenye debate mbele ya umati kila mtu angeona kwamba wewe ndio umeshindwa kwa sababu ulianza kwa kusema kuwa hakuna miundombinu yoyote iliyo Kenya ambayo haipo TZ lakini nilipokuletea Geothermal ambayo iko Kenya lakini haiko TZ ukaanza kubadilisha gear angani. Ukaanza kusema eti hamna Geothermal kwa sababu blablabla. Sijui eti "ooh sisi Watanzania hatuhitaji Geothermal."

Sitaki kusikia vijisababu vyako. Bora umekubali kwamba hamna Geothermal hio imetosha, sio lazima unipe vijisababu eti kwa nini TZ haina Geothermal. Hata sisi tuna sababu kwa nini hatutumii gesi ila hutanipata nikitoa hivyo vijisababu kwenye mjadala huu. Kubali kuwa hamna Geothermal na Kenya tunayo. Hata mimi nina sababu ni kwa nini huwa naenda haja kubwa chooni lakini sio lazima nitoe vijisababu eti ni kwa sababu nimekula chakula kwa hivyo lazima kitatoka tu. Wacha vijisababu, kubali umeshindwa yaishe. Usinieleze ni kwa nini hamna Geothermal, kubali tu kwamba hamna na mjadala uishe
 
lakini mbona kuna uzi wenu wa dar na nairobi sijui unaitwa batle of nini nini peleka huko hapa umekosea njia mkuu
 
Back
Top Bottom