dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?Kwa nchi hii hiyo salaam siyo kubadili dini tattizo lenu hiyo ya kwenu huwa hamtaki kutoa ufafanuzi ina maana gani?
kuhusu masista Mungu aturehemu kuna kipindi miaka ya nyuma nlpangwa mapokezi nkajua jinsi gani masista wako vile, ni bora ukutane na asha ngedere na mwajuma tigondefu kuliko wao!Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Una weza kusalimiwa kwa kiingereza pia, 'May peace be upon you' !mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
Anayekuja Ndio kafir Og..........huyu kaharibu Syria, Libya, Yemen na Iraq ! Kafiri ni kafiri tu !
..........na Kafiri ni kawaida kupumbazwa na Dunia !Anayekuja Ndio kafir Og
ha ha ha,sasa mbona hawajui umombo?,ukiwauliza wanasingizia eti walichukua sayansi,Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.
Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
Anayekuja Ndio kafir Og
Wewe Kama gaidi bora uache ujisalimisheMbona hamkimbilii kwa wenzenu mnakimbilia ulaya
Kwnz shule zao ndio znazoongoza ss cjui mtu anapinga nn hapo!Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.
Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
''..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima'' sawa kabisa...wapi wanaovaa mavazi ya heshima kati ya hao wanaovaa hijabu na wanaopita vichwa na mapaja wazi?
naomba tuelimishane mkuu bila hasira tuweze kuupata uzima wa milele pamoja
Sijajua uelewa wako upoje, nimekwambia sijadili maana hapa.Una weza kusalimiwa kwa kiingereza pia, 'May peace be upon you' !
'Bwana Yesu asifiwe' ina maana gani ?! ....maana uoga, kuwa muongo pia ni sifa !
Kuna tofaut ya mtu anaekaa kichwa waz na mtu anaekaa mapaja waz so ww unainsist ueleweshwe kuhusu anaekaa mapaja waz au kichwa wazi?''..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima'' sawa kabisa...wapi wanaovaa mavazi ya heshima kati ya hao wanaovaa hijabu na wanaopita vichwa na mapaja wazi?
naomba tuelimishane mkuu bila hasira tuweze kuupata uzima wa milele pamoja
..........hivyo hata hiyo salamu ya Yesu asifiwe haina maana ! .......mwenye akili timamu hufaja jambo analolijua maana yake !Sijajua uelewa wako upoje, nimekwambia sijadili maana hapa.
.....hamjishangai nyie mlio mtoa mhanga 'mwana wa mungu' pale Golgota ili mpate kufutiwa dhambi ! Clueless14Tatizo wenzetu mna katabia katabia ka kujitoa mhanga kwenye umati wa watu mkiwa mna outlook ya kidini mdo mana twashindwa kuwaamini amini vile tofauti na nuns.
Ss tunavaa tujisikiavyo ili mrad tu usijivunjie heshimatuanze kwa kulijua vazi rasmi la wanawake/mabinti wa kikristo kwanza ndo tuendelee na kuijadili hii mada!
Wewe Kama gaidi bora uache ujisalimishe
Ya kiislam una uhakika gn ni ya uhakika? Acha dharau ziszokua na tija weweki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu