Hijab kwenye shule za kikristo

........wakwangu kapewa mpaka uwanachama wa ukwata, na vyeti vingine kibao. Alipomaliza na kuingia chuo tu, nikamwambia misalaba na habari ya Yesu imeishia hapo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nashukuru pia watoto wa kiislamu wanapobahatika kujiunga na seminary zeru hizi hujikuta wanatumia na kupenda nyama ya mbuzi katoriki(kitimoto)
...........unashukuru kwa wao kuiga tabia za kikafiri !?? ........
 
'mama wa mungu awaombee wakosefu !......'
Ndo maana hata Paulo aliwaona hamna maana nyie !
 
 
Kwa jinsi ulivyo andika unaonesha jinsi usivyo tambua nini maana ya dini na sababu ipi iliyopelekea kuwepo kwa dini, nimekushangaa umesema umeama dini iliyoletwa na wazungu alafu unaenda kwenye dini iliyoletwa na Waarabu hapo umenishangaza sana na kunifanya niamini kuwa hujui chochote kuhusu dini japo unajifanya mjuaji, labda pengine ungesema umeamua kuachana na dini ya wazungu na kurudi kwenye dini za Waafrika ambazo zilikuwepo toka enzi na enzi kabla ya kuja hao Waarabu na wazungu hapo ningekuona umefanya jambo zuri na maamuzi yenye busara.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
...........hiyo salaam hata Yesu ameitumia kusalimia jamii yake. Tatizo nyie hamsomi Biblia bali mnashindia 'Misale' na mapambio !
Yesu alikua akisema : 'Amani ya Bwana na iwe juu yenu !'
 
Uislaam siyo Dini ya Waarabu.
Katika Qur'an Mwenyezi Mungu anasema ametuumba 'rangi na kabila tofauti ili tujuane tu, na akatofautisha ndimi zetu (lugha).
 
Nashukuru sana kwa hili.Shule ya seminari iwe ya Kiislaamu au Kikiristo ni strictly kwa dhehebu hilo,kwani seminary madhumuni yake ni kufundisha elimu za lazima zinazoambatana na nguzo za Dhehebu hilo ikiwa ni dhumuni namba moja,na 'output" inayotarajiwa ni ni ile ya kuendeleza elimu ya dini katika jamii,ikiwemo kuwapata ma sheikh,mapdre,nk.dhumuni ambalo ni la pili ni elimu toshelezi ambayo ,wanaochujwa wanaruhusiwa kuendelea vyuo vingine na kupata elimu za kawaida,km udaktari,ualimu,uhasibu,uhandisi.
Ukiona mahali pa waislamu kuna wakristo au kwa wakiristo kuna waislamu ujue hiyo shule si seminary bali ni kwa watu wote ,bali wanafunzi wanapaswa kuishi kama mazingira ya wenye shule yanavyoelekeza.Kama sala ya asubuhi ni Kiarabu basi wote tunawajibika,na kama ni Ya Kikiristo basi wote wanatakiwa waisome.Mbaya kumlazimisha mtoto kuhama au kutenda kinyume na maaadili ya dini yake.Waislamu wanamsemo kwamba" soma ,na ikiwezezekana tafuta elimu mpaka China"
 
 

Attachments

  • Islaam haters.jpg
    73.5 KB · Views: 45
Mkuu VIVIANET kuna tofauti kubwa sana kati ya 'Seminary' na 'Shule zinazomilikiwa na Mashirika ya Dini'.
 
Hiyo siku ya mwisho wewe ulikuwepo !?...........au ? OSOKONI
 
Hijabu ndio za La bikira maria.Umewah ona picha ya bikra maria ikiwa kichwa wazi.
 
...........hiyo salaam hata Yesu ameitumia kusalimia jamii yake. Tatizo nyie hamsomi Biblia bali mnashindia 'Misale' na mapambio !
Yesu alikua akisema : 'Amani ya Bwana na iwe juu yenu !'
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…