Safi sana, umeangalia hii ishu kwa jicho la tati, na sio mhemko kama wengineMtizamo wake ulikuwa hasi kama kweli alitaka watoto wapate elimu ya dunia angewaacha wakirudi likizo anawapeleka madrasa.
mimi ni watoto 3 wanasoma shule
Roman catholic lkn nimewapeleka watoto ili kupata elimu bora.
na jioni wakirudi nyumbani mwl wa madrasa anawafundisha dini ya imani ya islam.na wanafanya vizuri sana pande zote shuleni na madrasa.
Was Mariam mother of Jesus covering her head while praying only or all the time even when she was with other people?W
Can you read twice your sentence? you have said every woman who prayed with uncovered head and then you said he did you want to say she? you have said who prayed not walking along the road...you are trying to mix two things together
there is different between worshiping God and associating with other people
Was Mariam mother of Jesus covering her head while praying only or all the time even when she was with other people?
SIWEZI KUMPELEKA MWANANGU SHULE ZA MAKAFIRI WALA NGURUWE HATA SIKU MOJA AISEEE,HUKO NI KUFANYA MZAHA NA IMANI YANGU NA NITAKUWA NIMEFANYA KOSA KUBWA SANA MBELE YA MUUMBA WANGU,NI BORA ASOME HATA SHULE ZA SERIKALI ZA KATA TU.
SIPENDI UJINGA MIMI.
nani aliyekuambia Waislam wanafuga majini? .....chunguza kwa makini utagundua kitu kwanin waislam wanapigwa vita dunian ni kwakuwa katu hawaruhusu dhurma ya aina yoyote, na uonevu wa aina yoyote.Dhambi ni nguruwe tu ila uzinzi na kufuga majini kwako safi?
nani aliyekuambia Waislam wanafuga majini? .....chunguza kwa makini utagundua kitu kwanin waislam wanapigwa vita dunian ni kwakuwa katu hawaruhusu dhurma ya aina yoyote, na uonevu wa aina yoyote.
Are you trying to say she ddnt wear a veil? Of you want say she wore a mini skirt then you are out of your mind.Did you see her when she was with other people? Do you know her culture and tradition? where is it written in the Bible concerning the dress code of Mary?
Hapa ndio utajua nynyi watu MNA matatizo kwan pilpili ya shamba yawawashia nn hijab hujavaa wewe sasa nini inakuuma mpaka unapatwa na kichokonoz unayatoa ya kwenye mtima acha izo mamboHijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
Wanaona wivu wake zao wanatembea mapaja nje. Na wetu vitu viko ndani vimefunikwa. [emoji3] yaani sie tunawapenda sana wake zetu hatutaki wawe mali ya umma.Hapa ndio utajua nynyi watu MNA matatizo kwan pilpili ya shamba yawawashia nn hijab hujavaa wewe sasa nini inakuuma mpaka unapatwa na kichokonoz unayatoa ya kwenye mtima acha izo mambo
.....hayo maneno sijaandika mimi, halafu tuliza kichwa wakati unasoma kitu na ujaribu kuelewa.W
Can you read twice your sentence? you have said every woman who prayed with uncovered head and then you said he did you want to say she? you have said who prayed not walking along the road...you are trying to mix two things together
there is different between worshiping God and associating with other people
lakin kwan na kwa upande wa wakristo huu utaratibu ya kutofunika vichwa ulitokea wap?? mwenye ushahid wa kimaandishi ya din aniandikie wap mliruhusiwa kuacha vichwa waz atuwekee tafadhar
..........wewe majini umewahi kuona wapi wanafugwa !??Nimemjibu aliyesema kwamba hawezi kupeleka mtoto wake shule za makhafiri wakristo watamlisha nguruwe, nikamuuliza nguruwe ndio dhambi tu, je uzinzi na kufuga majini? hata hivyo siyo kweli kwamba waislam wanapigwa vita duniani au wanadhulumiwa haki zao..nimezaliwa na wazazi waislam nimelelewa kiislam nimeenda madrasa nikiwa mdogo hata leo ninapongoea mjomba wangu ni shehe mkubwa...wapo ndugu zangu katika ukoo ni waislam wa jadi. natizo kubwa la waislam wengi wasiojua maana ya uislam wanapenda kuwalazimisha watu wawe waislam kwa nguvu kitu ambacho ni kinyume na dini ya kiislam
Kwa nini huwa wanaonyesha image yake kwa mtazamo huu !Did you see her when she was with other people? Do you know her culture and tradition? where is it written in the Bible concerning the dress code of Mary?
Inategemea na hao wakristo wanaomiliki hiyo shule wana msimamo gani.Niliwahi kufundisha shule moja ya masista wa Holy spirit inaitwa Magnificat,kulikuwa na waislam kibao lakini mzazi anasaini waraka mapema kabisa kwamba mtoto atafuata taratibu zote za R.C.,sala kwa kwenda mbele,misa daily n.k.
Mpaka mtoto anamaliza form 4 anamju bikira Maria kuliko Joseph alivyomjua.