Fany uchunguzi upyaNakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
Hv kwann hamtumii lugha yenu??Maana ya assalam alaykum ni AMANI YA MWENYEZI MUNGU IWE NAWE,. Hapo ni lugha tu ila ni salam nzuri sana ambayo haina ubaguzi kwa yyt,
Lugha yetu ni kiswahili ila Quran ilishushwa kutoka kwa mwenyez mungu kupitia malaika jibril (Gabriel) kwa lugha ya kiarabu ,,, ili ibaki kama ilivyoshushwa nilazima tuitumie lugha iliyoshushiwa . so kiarab ni pure language, an polluted ukibadili kuleta kwenye lugha nyingine huweza kupunguza maneno au kuzidisha,,, ,,,na ndio maana bible ilipobadilishwa original language ikatokea balaa uingereza wanabible zao (Anglican ) Italy nao wana yao ndo nadhara hayoHv kwann hamtumii lugha yenu??
Kujifananisha na jambo unalolipenda ndo sifa kubwa na sahihi! Sasa kama kumpenda bikira maria bila ya kuiga mifano yake kuanzia tabia mpaka maisha yake kwa ujumla utakua bado hujamfanya kua roal model wako!!Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Nenda kasome petro 5:7 ili ujue nani wakumkabidhi huo wasiwasi wako ikiwa hujui pa kuupeleka halafu urudi hapa tujadili.eleza unachotaka kueleza wasiwasi hauhusiani na utimamu kama umebanwa sema
Kuna Mmoja alipeleka wanae wawili st antony-mbagala, baada ya kupewa ile nembo ya shule akaenda kumweleza headmaster kuwa alama ya msalaba iondolewe kwenye nembo LA sivyo aondoshe wanae, alihamisha wanaeKuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Uongo mchana kweupe, hivi pale Loyola hakuna waislam?Hakuna muisilamu anasoma seminary za kikristo. Bali wapo waisilamu wanao soma Shule za binafsi zinazomilikiwa na wakristo
Kuna tofauti kati ya seminary na shule inayomilikiwa na kanisa au jumuiya ya kikristo. Seminary ni shule maalum inayomwandaa mtu kuwa mtumishi wa Mungu kanisani. Katika shule hizo maadili ya shule husika lazima yafuatwe.Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
woteKuna tofaut ya mtu anaekaa kichwa waz na mtu anaekaa mapaja waz so ww unainsist ueleweshwe kuhusu anaekaa mapaja waz au kichwa wazi?
hijabu ji vaz la star kwa waislam tuu hao wengine wasioamin uislam wabak tuu na pilipil zao waz
Mimi nashangaa. ...inakuaje wanakimbilia Ulaya badala ya kwenda nchi za waislam wenzao?jamani sisi sote ni ndugu kutoka uzao wa Ibrahim baba wa imani wengine wamezaliwa kwa Ismael na wengine kwa Isaka
Siku moja uje ulize.au unataka kuwa Sista nini???.
hijabu ji vaz la star kwa waislam tuu hao wengine wasioamin uislam wabak tuu na pilipil zao waz
Hijab inaficha ugaidi
Ni vema tuelewe kuwa kuna Dini za Kulindwa na kisambazwa na wanadamu ili ziwe so that it at least last na kuna nyingine Zinaendeshwa kwa Nguvu ya Mungu aliyezileta kwa sababu Mungu mwenyewe atosha kuieneza hiyo imani kwa wanadamu
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
ok halafu inawezekana tupo tofauti sana kielimu ila mitandao ya kijamii inatuunganisha. Hata ufanye nini huwezi kuendelea bila ya social interaction from different people ( culture, religion, education,race, sex e.t.c)