chrissleon
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 147
- 89
OK! je Qur'an imetoka wapi?Uislaam siyo Dini ya Waarabu.
Katika Qur'an Mwenyezi Mungu anasema ametuumba 'rangi na kabila tofauti ili tujuane tu, na akatofautisha ndimi zetu (lugha).
Kaka kaogopa dini ya kikafiri.Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.
Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
ahaha ahaha jumlisha Kanuni ya ImaniKuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Mkuu upo serious au?Waafrika tulikuwa tuna dini pia?
kuna nini wanakipunguza kwako wakivaa kwenye hizo shule? vitu vidogo kama hivi kuanza kuvichambua ni kuleta utengano na hakuna faida yoyote
Hivi mada kama hii ikiondolewa na Moderator mtoa mada naye atalalamika kuminywa kwa uhuru wake wa maoni?
Mkuu kwani seminary ni nn?Swala la kutaka watoto wa kikristo kuvaa hijab wanapojiunga na seminary za kiislam halafu watoto wa kiislam wanapojiunga na seminary za kikristo siyo sahihi kila mmoja anapokwenda kujiunga na mwengine aheshimu sheria alizozikuta la sivyo abaki kwake
Ahsante mkuu. Seminary ni zaidi ya shule inayomilikiwa na wakatoriki.Hizo shule sio Seminary School ni shule za sSecular kwa maana kuwa zimesajiliwa hivyo. Seminary School hazina mchanganyiko wa dini na usajili wake huwa ni tofauti na hizo. Mfano Itaga Seminary-Tabora ni tofauti Mihayo Sec School-Tabora japokuwa zote zinamilikiwa na RC lakini zimesajiliwa kwa madhumuni tofauti kabisa
Nipo serious mkuu,nina hamu ya kuzijua hizo dini.Mkuu upo serious au?
wanaopga kwaya kwenye desktop za serikali sio wabinafsi?Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Mkuu Sikuwa nimfaham km mungu wanao muabudu waislamu anaitwa ( mungu/god) na si (Mungu/God) maana mimi nilikuwa nna faham kuwa Abrahamic religions zote (Islamic, Christianity, Hebrews, Judaism etc) wana mwabudu Mungu Mkuu yaani (Almighty God) na baadhi ya dini nyingine wao hua budu miungu(god's) ambazo Kama Krishna, Afrika religions etc..
Sawa. Lakini, fanya utafiti kidogo kuhusu kauli yako hiyo hapo. Unaweza kugundua haya:
- The Islamic faith believes that Allah is god is the one, true god, but Jesus is not the Son of God as Christians believe (Surah 9, 30).
- Islam teaches that Jesus was only a great prophet but not divine (Surah, 5:17, 75).
- Even Jesus death on the cross was faked (Surah 4, 157) and apparently God allowed Judas to look like Jesus and he was crucified instead (Surah 4, 156-158).;
- Christians believe in one God but in three distinct Persons.; The Islamic faith believes in only one god as one person (Allah).
- Christians embrace the cross as the only way that they can be saved and it is through the work and Person of Jesus Christ (Acts 4:12) so if you have got the wrong Jesus, you have got the wrong way.
- Jesus is more than a prophet, He is more than a Teacher; He is the literal Son of God and is fully divine and as such, has all omnipotent power.
- In the vital areas, the differences are like night and day.
OK! Niambie kwenye kabila lako wazee wenu walikuwa wanamwabudu mungu yupi kabla ya kuja Waarabu na wamisionary?Nipo serious mkuu,nina hamu ya kuzijua hizo dini.
Mkuu ni bora ungenielezea hiyo miungu iliyokuwa ikiabudiwa na mababu zetu pamoja na dini zao.OK! Niambie kwenye kabila lako wazee wenu walikuwa wanamwabudu mungu yupi kabla ya kuja Waarabu na wamisionary?
Mkuu seminary ni shule za kanisa katoliki ambazo zinawaanda vijana kwaajili ya kuwa mapadre wa kanisa katoliki. (hiyo ndiyo definition halisi ya neno seminary unaweza ukahakikisha kwa kuangalia kwenye dictionary au unaweza ukagoogle. Sasa swali langu kwa waislam na madhehebu mengine ambayo wanajenga shule alafu kwa kufuata mkumbo wana andika .....seminary school hivi na wao huwa wanawaandaa watoto au vijana wao wajekuwa mapadre wa kanisa katoliki?Mkuu kwani seminary ni nn?
.Mkuu Sikuwa nimfaham km mungu wanao muabudu waislamu anaitwa ( mungu/god) na si (Mungu/God) maana mimi nilikuwa nna faham kuwa Abrahamic religions zote (Islamic, Christianity, Hebrews, Judaism etc) wana mwabudu Mungu Mkuu yaani (Almighty God) na baadhi ya dini nyingine wao hua budu miungu(god's) ambazo Kama Krishna, Afrika religions etc.
Kama mnavyopiga kwaya kwenye kompyuta za serikali wakati huwezi sikia inasomwa quran tukufuHao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Haya maamkizi yanayotumia ujumbe wa kiimani mbona yanaleta shida yanapotumia lugha ya Kiarabu na siyo lugha nyingine? Kama ujumbe ni kutakiana amani ya "MWENYEZI MUNGU",kwa nini inakuwa nongwa ikitamkwa kwa lugha hiyo ya Mashariki ya Kati?? Hivi hayo maneno yangetamkwa kwa Kiswahili ingekuwa tatizo kweli? Ni tafakuri yangu...Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Nimeshuhudia mara mbili:Tukio la kwanza nikisafiri toka Morogoro kwenda DSM,abiria kama watatu hivi wakimlalamikia dereva wa basi abadilishe "stesheni" ya redio baada ya kusikia yakitolewa mawaidha ya kiislamu.Dereva yule kwa busara aliamua kuzima kabisa redio.Tukio la pili nikisafiri toka Arusha kwenda Moshi,abiria kadhaa walimfokea abiria mwenzao aliefungulia nyimbo ya kaswida kupitia simu yake ya mkononi,malumbano yalikuwa makali.Nilimsihi yule dada atumie "earphone" ili kutowakera wengine wasiopenda kusikia hiyo kaswida yake.Lakini sijawahi kushuhudia tafrani ikitokea pale unapopigwa wimbo/kwaya katika mazingira hayo hayo ya chombo cha usafiri,taaizo ni nn hasa? Kwa nini upande mmoja unashindwa ustahamilivu wa kiimani kwa mwenzie????Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'