Maisha ni haya haya mkuu,Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Wamekwisa na Kutokota kabisa Waswahili tunasema ' Kwishnei ' kabisa.
Kuna tofauti ya kupatikana kwa hizo fursa za Ajira unazosema na wao ( hao Watangazaji ) watakaoajiriwa kuwa ' Competent ' na ' Creative ' kama walioondoka. Na usisahau ukiachilia mbali ' Taaluma ' husika ila kataa kubali kuna kitu kinaitwa Shani ( Nyota ) ya Kimvuto ambayo huwa inamfanya Mtu fulani akiwa mahala fulani na Watu fulani basi anazidi Kukubalika na hata hiyo ' Media ' aliyopo nayo ' inang'aa ' vile vile. Maulid Kitenge, Tido Mhando na Charles Hillary Nkwanga ukiachilia mbali tu ' umahiri ' wao wa Kiutangazaji lakini pia wana ' Mvuto ' wa Kipekee ( hiyo Shani / Nyota ) ambayo Mwenyezi Mungu ' huwatunuku ' Binadamu baadhi tu na kila walipokuwepo walikubalika sana na hata wakiondoka huko Wasikilizaji nao huanza Kupotea taratibu.
Hawa wote , ukiwaangalia si waajiriwa wa kawaida... Ajira imebadilika siku hizi, hata watangazaji.. Wao wamekuwa revenue centers kwa vituo vyao.. Hivyo wanachukuliwa kama assets... Kwenye timu za mpira , wanaita wachezaji playing assets.. Sasa imehamia kwa watangazaji, wachambuzi, kwani wao ndio husababisha kituo fulani kipate wasikilizaji wengi.. Sasa hilo la kufilisika au la kwa kituo husika .. Haliwahusu sana, kwa vile wao wanaendeleza kujibrand na wanahamia mahali pengine..Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Maisha kitu cha ajabu sana, Kijana kutoka Tandale ameweza kuwaajiri na kuwalipa vijana ambao wengine inawezekana wamezliwa na kukulia Masaki na Oysterbay na kusoma best schools in town..
Maisha ya Kijana Diamond ni somo kwa wale wapambanaji na watafutaji wa maisha, hakuna kukata tamaa na Mungu humpa yeyote yule.
Binadamu wanaishi kwa migongo ya wengine. Bila kujali kama kuna kufa. Kama unajali hilo watu wasingeoana, wasingezaa (maana unapozaa mtoto unajua kabisa utazeeka kabla yake na huenda ukafa kabla yake), wasingeajiriwa na makampuni mbalimbali. Kufa au kufirisika ni mtiririko wa maisha na kampuni ukianzishwa lazima waajiriwa wawepo.Naliona hilo ila wasiwasi wangu tu ni kwamba vipi Siku moja Mtu anayewapa hii ' Jeuri ' yote CEO wao Msanii Nasib Abdul ' Diamond Platinumz ' ikitokea ' akafilisika ' itakuwaje? Tukumbuke kuwa hakuna Binadamu ambaye ameshahakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa atakuwa ' Tajiri ' Milele na kwa hapa Tanzania tuna mifano mingi tu ya Watu ambao miaka ya nyuma ndiyo walikuwa na ' Jeuri ' na ' Nyodo ' hasa Kipesa ( Kiutajiri ) lakini leo hii wamekuwa ' Masikini ' hadi ukiwaona Mitaani wanatia Huruma na unaweza hata kutokwa na Machozi. Mmoja wapo kuna Kituo cha DalaDala eneo la Sinza kimeitwa kwa Jina lake.
Wanapopewa matangazo. Na ili upewe matangazo lazima uwe na vipindi vinavyovutia wasikilizaji au watazamaji.Wazoefu na Wataalamu wa haya mambo tusaidiane kidogo katika maswali haya..
Hizi redio na TV stations zinapataje faida kiasi cha kuweza kuendesha biashara na kuendeleza uwekezaji?.
Yap kufa kufaana ni zamu ya youngstars kuonyesha vipaji vyaoFursa za ajira kwa wanahabari wengine.
Hizo nafasi zote zilizoachwa wazi si zinahitaji watu?
Wazoefu na Wataalamu wa haya mambo tusaidiane kidogo katika maswali haya..
Hizi redio na TV stations zinapataje faida kiasi cha kuweza kuendesha biashara na kuendeleza uwekezaji?.
Yap kufa kufaana ni zamu ya youngstars kuonyesha vipaji vyao
Hapo CMG kuna watangazaji gani?!Tatizo la Tanzania ni ubunifu 0. Huyu kahamia huku kapeleka vipindi vyote vya EFM. EFM walikosea sana kutosajili miliki ya vipindi.
Wasafi iko party owned na owners wa CMG hivyo tusitegemee kuona wafanyakazi wa CMG wakinyakuliwa na Wasafi Media
Sasa ndio mnasema watawatoa kwenye reli watu walifanya investment na kufanya research? Basi wamlete na Salim Kikeke kama Azam ilivyoweza kuwaleta akina Charles Hilary. Kisa mtu kapata hela kwa ajili ya nanihilu tayari mnaona anaweza kila kitu?
Wahenga walisema "Ivumayo haidumu"Wamekwisha na Kutokota kabisa Waswahili tunasema ' Kwishnei ' kabisa.
Bro sidhani kama wamezinanga hizo media walikotoka kwani nimesikiliza hata mm pia,walitoa kama nukuu ya siku labda kwa tafsiri yako utakuwa sawa lkn usipotoshe kwa ambao hawajasikiliza.....Pia kumbuka wale wote wawili ni wanadaisalama kwa hiyo misemo ni kawaida kwa wenzetu wa pwani.Nimeona akina Zembwela na Kitenge wameanza kuzinanga ofisi walikotokea, eti wanasema mkia hauwezi kutikisa ng'ombe ila ng,ombe ndiye anatikisa mkia.
Hawa jamaa ilibidi wajiepushe sana na maneno ya taarabu kuzisema kwa mafumbo media walikotokea kwa sababu hawajui kesho yao itakuwaje.
Tena kama kitenge inabidi amshukuru sana dj Majizzo aliyemtoa radio one kwa sababu yeye ndoto yake ilikuwa ni kuzeekea radio one, media nyingine nazo zilikuwa zinadhani kumtoa radio one labda haiwezekani.
Nasikia hata siku majizo anatoa wazo la kumtoa radio one, wenzake walidhani kama anaota hivi.
Kwa kinachoendelea, hata radio uhuru wakivunja kibubu wanaweza kumng'oa yeyote yule na sisi wasikilizaji tutahahama tu.