Na nyinyi mpaka leo hamjuwi kuwa JF ni MYSIWYG, si unai"copy" tu na kui "paste" hiyo picha inakuwa urahisi kuiona badala ya ku"upload" hivyo vi "thumb".
Ananyonya au anapuliza?Na nyinyi mpaka leo hamjuwi kuwa JF ni MYSIWYG, si unai"copy" tu na kui "paste" hiyo picha inakuwa urahisi kuiona badala ya ku"upload" hivyo vi "thumb".
![]()
Ananyonya au anapuliza?
Sura yake si unaijuwa? imekaa kikupuliza au kufyonza? mrija haunyonywi, vinavyonyonywa huvijuwi weye? unanchekesha!
Wakipata tb wanawahi Loliondo, ikishindikana IndiaFaizafoxy huoni huu ni mwanya wa kuambukizana tb.....................na viongozi walipaswa kuelimisha jamii badala ya kudumisha mila na desturi zilizopitwa na wakati?
Faizafoxy huoni huu ni mwanya wa kuambukizana tb.....................na viongozi walipaswa kuelimisha jamii badala ya kudumisha mila na desturi zilizopitwa na wakati?
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Wewe unafikiri kwenye ile kitu kuna kidudu kina baki? vidudu vyenyewe vinakimbia harufu inayotoka pale.
Unajuwa tatizo kuwa ukianza kuwapiga marufuku hizi pombe za kienyeji unaweza ukawachiwa radhi za asili, kuna wengine huwa wanakwenda kuifurahishaa mizimu kwa hizo pombe za kienyeji, sasa kama hutaki chama chako kisuswe huko na wenyeji pamoja na mizimu yao, inabidi ujichanganye. Usione mijini humu watu na fashen yao, mabo ya kikaa kidogo huwa wanaenda kwenye mizimu yao nyumbani huko na vifasheni vyao vyoote vinawekwa pembeni, wanapigwa na kipande cha kaniki tu wakaishtakie mizimu matatizo yao. Shauri lako.
Wewe mjini ukisikia mtu anakwambia nakwenda nyumbani kusalimia wazee, ujuwe kati ya hao wazee na mizimu imo humo, na pombe za kienyeji kwa kuitia muhimu ndio zenyewe. Bora mizimu ya Kingaziija, sharti kwa whisky na Brandy, Mbuki huyo, hataki pombe za kienyeji tena mtakorofishana kweli kweli.
Usimone Pinda kajipinda hapo ukamuona mjinga, anayajuwa hayo.
Sura yake si unaijuwa? imekaa kikupuliza au kufyonza? mrija haunyonywi, vinavyonyonywa huvijuwi weye? unanchekesha!