Hii ya leo kali sana sana

Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
TRAFFIC AKUTANA NA MWANANCHI MWENYE HASIRA KALI.

TAARIFA

Hili tukio limetoka leo asubuhi maeneo ya Mwenge- Dar ea salaam.

Huyu jamaa alisimamamishwa na traffic, aliposimama wakaanza kubishana na Traffic, mashuhuda wanasema Traffic akachomoa funguo za gari akataka kuondoka nazo, jamaa kwa hasira akamvaa Traffic na kuanza kumtembezea kichapo.

Baada ya kuchapika sana, ndo Wanajeshi wa JWTZ ambao walikuwa wanajipitia ikabidi waingilie kisha wakamchukua jamaa na kuondoka nae sasa sijui huko walikoenda itakuaje.?

Sema nikikumbuka Oktoba 29, hadi Traffic walipewa silaha ili watuuwe nachoka kabisa.
 
mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia. ✔🙏🏿
 
Baada ya kuchapika sana, ndo Wanajeshi wa JWTZ ambao walikuwa wanajipitia ikabidi waingilie kisha wakamchukua jamaa na kuondoka nae sasa sijui huko walikoenda itakuaje.?

Wameenda kumpongeza kwa kazi nzuri Sana😂
 
Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
Ngumu kuamini hii inaweza kuwa km zile hadithi zako za kusadikika! Hata wanatakiwa wawe fiti km askari wa kimarekani wa kiingereza. Wanakunywa mataputapu hawafanyi mazoezi wanategemea nini. Km ni kwl huyo raia ataona cha mtema kuni siyo rahisi unavyofikiri, huwezi kumshambulia askari tena km picha inavyoonekana, hapo utajutia kuijua dola.
 
Yaan trafiki amejambishwa sana mpaka kazi imekua na kazi maana jinsi alivyowekwa chini hapo ni kupokea tu matonge ya uso na kujitahidi kificha sura maana utatambaa kwa mgongo huku mweenzio amekukalia juu wewe unajibuluta tu
Halafu mshikaji anayetembeza kichapo hana hata mwili mkubwa ila balaa lake noma.
 
Mkuu, kwa hii nimekuelewa!
 
Umeanza kwa mashambulizi ,umeanza kubedha waliofariki kwenye MO29 wakati mada ni traffiki kuchezeshewa kichapo ndiyo maana nikauuliza Sukari imepanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…