Sasa sijui shida ni nini? Ila nimechangia kupitia tigo imeenda.Imeenda mbona yangu
Pia mie nimetuma kwa mixx by yas imeenda baada ya mpesa kufailMimi nimrtuma Mixxx ya yas imekubali
Ni bora sana kuliko kufungamana na chawa waliteketezao taifa letu.Kuna kila sababu ya kula sikukuu la Lissu
Wanadai imefika kikomo cha kupokea pesa kwa siku. Kwa siku imewekwa kupokea 10M. Ikifika kiwango hiko pesa nyingine haiwezi kuingiaNimejaribu kumchangia Mheshimiwa Tundu Lissu imeshindikana inanirudishia huu ujumbe wasilianeni na Vodacom kuna namna wanaweza saidia
View attachment 3523264
Ndio, ila za halali. Sio za wauza unga na wakwepa kodi.Kumbe mna hela
Anapunguzaje na Jela simu na Pesa haziruhusiwi?Tuma kwenye Tigo. Naona ya M-PESA imejaa muda huu labda mpaka apunguze pesa zilizopo kwenye salio.
Hizo namba ni za kaka yake. Au unadhani ukoo wao mzima upo jela?Anapunguzaje na Jela simu na Pesa haziruhusiwi?
Tuma kwenye akaunti ya benki mkuuNimejaribu kumchangia Mheshimiwa Tundu Lissu imeshindikana inanirudishia huu ujumbe wasilianeni na Vodacom kuna namna wanaweza saidia
View attachment 3523264
Acha uongo mkuu uuanze mwaka mpya vizuri, uchangie fedha wewe fala au lofa?!!! Thubutuuu, usiwatie ujinga wenzio🤣🤣🤣🤣Nimejaribu kumchangia Mheshimiwa Tundu Lissu imeshindikana inanirudishia huu ujumbe wasilianeni na Vodacom kuna namna wanaweza saidia
View attachment 3523264
Ni kweli kakaPathetic Liar!
Fungua Direct SMS nikutumie salioAcha uongo mkuu uuanze mwaka mpya vizuri, uchangie fedha wewe fala au lofa?!!! Thubutuuu, usiwatie ujinga wenzio🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Fungua Direct SMS nikutumie salio