Mi ndo message niliyorudishiwa na baadhi ya members wanasema kuna limit ya hiyo number ya voda kupokea pesa kwa siku nimeona ina logic kwa kiasi fulaniKwanini unaamua kudanganya with bold red letters? Kwa faida ya nani sass!? Hata hili nalo mnatukejeli? Unadhani Mungu anapenda? With due respect naenda kufuta reply yangu.. Lakini mkumbuke Mungu yupo na anaona!
Ni sahihi lakini yeye kadanganya hawezi kamwe kutuma.. Wako wanafuatilia kwa karibu Sana hili jamboNi kweli kaka
Mimi nilituma kwenye hiyo voda nikapata sms hii
Samahani, M-PESA haiwezi kuidhinisha muamala huu kwa kuwa muamala huu utazidisha kiasi cha juu cha salio la mpokeaji kinachoruhusiwa. Alternative nikatuma kwenye akaunti ya NBC na ikaenda
Badae waanze kutoa milio kama nyani kua Hali ngumu...pesa zote hizo anchangiwa mtu mmoja...kwanini wasiwachangie watanzania wote wenye shida umaskin na ufukara?Kumbe mna hela
Angekuwa sharp kuwa anatoa pesa kwenye account ikishafika kama milioni 10 ili kusiwe na hizo changamoto. Inawezekana kuna wengi wakikwama kwa MPESA hawajaribu tena kwa njia nyingine.Mpaka sasa Genz wamemchangia Tundu Lissu TZS. 22,000,000.
NB: Mtandao wa Vodacom (M-Pesa) umefika kiwango cha mwisho cha kupokea fedha, Hivyo mnaweza kutuma kwa Tigo Pesa, na Account ya Bank iliyowekwa hapo.View attachment 3523316
OkayHayuko serious anakejeli
Mama alichangiwa 100 Billion kwa siku moja au umesahau?Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto.
Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂View attachment 3523244
Happy new year Tundu lissu the Greatest.. Happy new year Gen Z the unstoppable 💪🏿💗☄⚡View attachment 3523244
Lete mkeka halisi wa michango achana na maneno ya mitandaoniMama alichangiwa 100 Billion kwa siku moja au umesahau?
Hizo 20m ni visenti tu kwa Chama Kubwa CCM, tena nasikia nyingi ya hizo ni za kutakatisha toka kwa mabeberu kwa kuwa mmeshindwa kuzileta kwa njia ya kawaida sasa mnawapa nyumbu wa nje wanatuma through mobile phone!! 😀😀😀
Mbona siku ya michango ilikuwa live!! Unafikiri kama nyinyi inakuwa gizani.Lete mkeka halisi wa michango achana na maneno ya mitandaoni
Ndiye aliyetakiwa kuwa ikulu na si yule mtekaji na muuajiKiukweli lisu anapendwa tena anapendwa mnooo na watanzania huo ndio ukweli.