Wacha tuwachokonoeSaa nyingine neno likikuchoma huwa una gugumia nalo.. Kwani sio kweli hayo madini bado ni makaburu wanachimba?? Au Msoga kuna uwanja wa ndege na mbuga ya kupandikiza. Msitafute kuchokonolewa zaidi..
Unajua kwa akili zako fupi kuwa sasa anawasema CHADEMA! Wait and see
Sasa Kama hao wanaopigiwa kelele hawana Cha kujibu wafanyaje?? Watu wamepoteana kwa kelele za lissuWakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?
Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujubiwi fikiri mara mbili"
Hilo ni mbumbumbu tu la chakubanga