Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,863
- 93,648
Huyu mjinga acha akomeshwe naye
Ila lissu naona bado hajavuma mitandaoni kama lowassa ilivyokuwa. Ongezeni juhudi wadeki lami jamani!
Dongo kwa lissu. Wenye CCM wameona kelele za lissu hazina impact kwao, wameamua kumpuuza.Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?
Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
Kwa wale wasiojulikana kuja kwa namna nyingine! Mlamba viatu ametoa tahadhari manake anazijua nguvu zao!!Yani hapa ndiyo utaona watu wasivyo na akili kichwani yaani wanafikiria ushabiki kila mara hapo huoni kuwa nape ameonyesha kuwa anayepiga kelele bila kujibiwa ni lissu na hajibiwi anaropoka weeee hajibiwi kwahiyo ni kama yupo kwenye draft ameachwa aleee asubiri mwisho wa mchezo atabaki amepanua domo lake lile kama nyani.
Limeshasahau ubaya lililotendewa wa kunyooshewa bastola hadharani!
Kamuachia Mungu atalipwa kwa Mungu.Limeshasahau ubaya lililotendewa wa kunyooshewa bastola hadharani!
anajifanya kumnanga Tundu Lissu ili ajikoshe kwa wakubwa zake chamani baada ya wadau kufukua kaburi linalonuka hili hapa chini..Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?
Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
Mimi siongelei lissu naongelea wapambe wa mitandaoni! Na kwa statement yako unakili kuwa Lissu bado kapwaya kwa lowassa bila kujali vijisababu ulivyovitoa.unapomfananisha Lissu na EL unakosea sana..
El alijijenga kisiasa in10yrs na zaidi akiwa ndani ya mfumo, El akiwa PM alitumia UPM wake kuusaka urais akitumia rasirimali za nchi na watu...
TL zaidi ya 3yrs yuko kitandani nje ya nchi na hakuwepo kwenye mfumo ambao ungemfanya atumie rasirimali za nchi...Hii nguvu yake unayoiona ni ya asili kabisa haina force yeyote.
Tukiwa wakweli kabisa, uwanja wa siasa kuanzia 2005-2015 ulikuwa free sana kufanya siasa na kujitangaza kwa watu hivyo ilikuwa rahisi mtu kujulikana na kujizolea wafuasia.. Kuanzia 2015 to 2020 uwanja wa kisiasa ulikuwa wa upande mmoja sana na wapinzani hawakuwa huri kufanya siasa za kiushindani zaidi ya kukimbizana na vyombo vya dola..
Kifupi tunaweza kusema in 5yrs CCM alikuwa anapambana na adui aliyefungwa mikono, hivyo huwezi kumuita huyu adui wa CCM ni mzembe huku alifungwa mikono na kuambiwa apigane..
Uwanja huru wa siasa Africa haupo kwa vyama vya upinzani na ni kama vyama tawala havitaki mfumo wa vyama vingi ila vinalazimishwa tu na jumuiya ya kimataifa..
Kampuni gani iyo??? Itaje??Umemu
Umemuuliza mbowe na kampuni iliyo supply vitu vya kampeni 2015 mpaka sasa wanadai pesa kuwa ni ya nani kama sio shemeji wa mbowe?
Je hapo ni halali bwashee?
Imekuumae! Basi kunywa maji!Limeshasahau ubaya lililotendewa wa kunyooshewa bastola hadharani!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nape mwanzilishi mwenza wa Chama Cha Jamii (CCJ) ambayo baadaye ikabadilishwa kuwa CCK.Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?
Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
Si tangu 2015 mtu mmoja anapiga kelele pekeyake na kuzuia wengine,sasa majanga tunaanza kuyaonaWakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani?
Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"