Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

Yani hapa ndiyo utaona watu wasivyo na akili kichwani yaani wanafikiria ushabiki kila mara hapo huoni kuwa nape ameonyesha kuwa anayepiga kelele bila kujibiwa ni lissu na hajibiwi anaropoka weeee hajibiwi kwahiyo ni kama yupo kwenye draft ameachwa aleee asubiri mwisho wa mchezo atabaki amepanua domo lake lile kama nyani.
Tatizo lako umekurupuka kutoka kwenye klub ya kimpumu
 
Wanamuziki wa taarabu wanajua na kutoa mafumbo mengi.

Tangu huyu jamaa adhalilike kwa kuomba msamaha amekuwa mkimya sana,sasa anaanza kujisahau.

Lile bao lake la mkono limempatia mimba ya mkononi.

Tutaelewana tu kidogokidogo
Upo vizuri dadeeeki
 
Unaweza ukadhani mtu ni jasiri lakini mminye kidogo tu kama alivyominywa Nape ndio utajua hapo ni debe tupu tu la kinafiki. Je angemiminiwa risasi? Mashangazi kutishwa kukung'utwa basi mkia kauficha, je angelala ndani? Hivi Vinape Nape vinyamaze tu, wanaume waingie kwenye uwanja wa vita, atasaidiana na kina mama kutayarisha supu kwa mashujaa wakitoka vitani. Kila nikimwangalia Nape nakumbuka tu hii picha...

kanga CCM.jpg

Basi mambo yake ni ya kikanga kanga tu na vitenge!
 
Hii tweet ukiiangalia bila ushabiki ina ujumbe mwanana kwa TL.
Ni kama vile Nape kampa hadhari ili ajiimarishe zaidi na harakati zake.
Ina maana leo Hii tutapata jibu.
Kimya kingi cha vyombo vya uchaguzi ni kumuengua .
Hivi sasa ni shida tuuu
 
Back
Top Bottom