Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

jingalao,

Tayari kelele za Lissu zimewaibua. Hawa wakato wa lowasa walikuwa vilomolomo sana. Naona wamepigwa ganzi. Wanajifanya eti wanajipanga.

Endeleeni kujipanga sisi tunakata mbuga tu
 
jingalao,

Nape siyo wa kumuamini sana hasa anapokuwa hana kibarua.

Unaweza kukuta hapo anamtetea Membe dhidi ya Tundu Lissu. Nape amesomea siasa (propaganda)!
 
Yani hapa ndiyo utaona watu wasivyo na akili kichwani yaani wanafikiria ushabiki kila mara hapo huoni kuwa nape ameonyesha kuwa anayepiga kelele bila kujibiwa ni lissu na hajibiwi anaropoka weeee hajibiwi kwahiyo ni kama yupo kwenye draft ameachwa aleee asubiri mwisho wa mchezo atabaki amepanua domo lake lile kama nyani.
 
CCM wamepiga campeni miaka mitano hatimae tumewachoka sasa hawana jipya tunataka kusikiliza nyimbo mpya.

Fanyeni kwa Lissu lolote mtakuwa mmetuamusha wenye njaa maana hatuna cha kupoteza itakuwa ni kupiga risasi tu.

Mpaka wakaje walinzi wa amani itakuwa tumemaliza kizazi chote cha CCM Manina
 
yani hapa ndiyo utaona watu wasivyo na akili kichwani yaani wanafikiria ushabiki kila mara hapo huoni kuwa nape ameonyesha kuwa anayepiga kelele bila kujibiwa ni lissu na hajibiwi anaropoka weeee hajibiwi kwahiyo ni kama yupo kwenye draft ameachwa aleee asubiri mwisho wa mchezo atabaki amepanua domo lake lile kama nyani
Hiyo pia ina apply kwa upande wa pili miaka mitano huo upande umetamba, sasa ndio unapatiwa majibu.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
jingalao,

Utajibu nini kwenye hoja ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo kwa utaratibu ambao wala haukujadiliwa wala kupitishwa na bunge?

Spana za Lissu ni kali sana kwenu mataga!! Mnatamani kusiwe na uchaguzi mwaka huu😃. Na huyo ndo Lissu!
Ila lissu naona bado hajavuma mitandaoni kama lowassa ilivyokuwa. Ongezeni juhudi wadeki lami jamani!
 
Umemu
jingalao,

Utajibu nini kwenye hoja ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo kwa utaratibu ambao wala haukujadiliwa wala kupitishwa na bunge?

Spana za Lissu ni kali sana kwenu mataga!! Mnatamani kusiwe na uchaguzi mwaka huu😃. Na huyo ndo Lissu!
Umemuuliza mbowe na kampuni iliyo supply vitu vya kampeni 2015 mpaka sasa wanadai pesa kuwa ni ya nani kama sio shemeji wa mbowe?
Je hapo ni halali bwashee?
 
Saa nyingine neno likikuchoma huwa una gugumia nalo.. Kwani sio kweli hayo madini bado ni makaburu wanachimba?? Au Msoga kuna uwanja wa ndege na mbuga ya kupandikiza. Msitafute kuchokonolewa zaidi..
Umejibiwa?
 
Tumeshaelewa.

Upinzani kwa umoja wenu kuweni makini, na wagombea wenu, kuna jambo linapikwa. Hawahangaiki kuwanyamazisha kwa sasa ingawa wanazuiya taarifa zenu zisisikike. Wana jambo lao wanataka kulifanya.

Kuweweni makini zaidi kuanzia sasa hadi tarehe 25 Agosti, 2020.
 
Anamaanisha CCM ilifanya siasa miaka 5 peke yake bila kujibiwa,sasa majibu yameanza kutoka na ni balaa!
 
Back
Top Bottom