Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Gari ganiA Town...
Pamoja na kuwa ni mchana, nimetumia Saa sita na nusu. View attachment 1230568
Gari ganiA Town...
Pamoja na kuwa ni mchana, nimetumia Saa sita na nusu. View attachment 1230568
Nahisi kwenye speed limit ya 50 ulikua unatembea na 120Wakuu nimetoka Dar saa 12:30 asubuhi ndio naingia double road kuishika A town. View attachment 1230558
Hizo ni kama 600km? Kwahio ulikuwa unatembea wastani wa 100kph?A Town...
Pamoja na kuwa ni mchana, nimetumia Saa sita na nusu. View attachment 1230568
Mchana?Nahisi kwenye speed limit ya 50 ulikua unatembea na 120
Usiku sio salama kwa ligi.
Si rahisi kuona zaidi ya 200M, ukiwa speed zaidi ya 100kph, ni ngumu kukwepa hatari ya ghafla.
Usishindane na watu wa magazeti, hao wanapita hiyo njia kila siku tena usiku. Wanaifahamu vizuri sana.
Na usiku kuna ajali nyingi sana za uzembe na kukosa umakini.
Kuwa makini, usishindane na usiemjua.
Yah huoni huo muda aliotumiaMchana?
Yah..but hapo atakua alikua hafuati alama za barabarani, Kama vivuko, sehemu zenye upepo, makazi ya watu, sehemu zisizoruhusiwa kuovertake, speed limit etcHizo ni kama 600km? Kwahio ulikuwa unatembea wastani wa 100kph?
Usiogope mkuu,just joking.[emoji849][emoji849]
Ulifuata sheria za barabarani kweli?Escape mkuu
Kompressor hata C180 tu!, Kwa nn yooote hayo Audi na BIMA?, V8 hamna kituWewe ulikuwa kwenye mashine gani, maan kama ungekuwa kwenye bmw, audi, v8 au mnyama randrover discovery usingekuja kutusimulia maana waoga vumbi tu
Speed 200 bdo bob, tafuta KompressorNilikuwa naendesha Ford Escape Mkuu, ilijitahidi sana kunipa heshima.
View attachment 1222295
Achana na Toyota bob, hamna rally hapoNa mashine yako iwe ya ukweli, na unaofanya nao ligi wawe na mashine nzuri.
Kuna muda uko speed 180km/h, lakini unashangaa kuna mjinga anakuovertake, sio mchezo!!! kwanini mnapenda ligi? [emoji3]
Yes.Hizo ni kama 600km? Kwahio ulikuwa unatembea wastani wa 100kph?
Sio kila BMW ina mbio kuliko toyota inategemea una BMW gani na una toyota gani na dereva nani
Kweli cc zinachangia mkuu lkn not a must,nilikua na mazda rx 8 ina cc 1300 ila hio Ford Escape uliyokua nayo nakupita kama umesimama vile mkuu.