oyieko
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 308
- 376
Yeah niko na amazon moja td manual gear 6 af inasoma mph sikwambii utamu wake mkuu
1VD-FTV ndio mnyamakazi V8 hapo, huyo 1HD-FTE ni i6
1VD-FTV ndio mnyamakazi V8 hapo, huyo 1HD-FTE ni i6
Ha ha ha ha ha....
Hebu tuandikie wino mate tuweke pembeni, Mbeya -Makambako mlitumia mda gani na hiyo private? Yaani hapo umekimbia hadi mate yamekauka mdomoni nakupa masaa mawili kwa upendeleo! Je Makambako -Dar ulitumia masaa matano?[emoji23][emoji23]Mbona zamani ilikuwa kawaida, mwaka 98 kabla ya ratiba na tochi Mbeya Dar tumefika saa 8.30 mchana. Na kuna mabasi yalikuwa na uwezo wa kurudi, tatizo lilikuwa askari. Mwaka 2005, Mbeya Dar na Hekima tumeingia Ubungo saa 10 jioni, by saa 4 asubuhi tulikuwa tunakula Ilula, saa 8 mchana tupo Morogoro. Sio story, zamani watu walikuwa wanatembea. Ndio zikaja speed governor, tochi na wakamaliza na ratiba.
Kwa gari binafsi, tushatoka Mbeya 11 jioni tukaingia Dar saa 6 usiku; na kuna siku niko na IT tumetoka Mlandizi saa 5 usiku by 11.30 tuko Mbeya.
Zote hizo ni low life cars.Unaongea tuu ingia you tube andika subaru wild vs mark x utaleta mrejesho
Zote hizo ni low life cars.
Why not Subaru Wild vs BMW M5? Au BMW vs Porsche 911 gt3?
Hahahahaaa... hao jamaa sijui roho yao wanaweka wapi..Kama unataka ligi unapotoka DAR jaribu kufanya ligi na gari za magazeti ndio utajipima uwezo hao wote uliofuatana nao waoga.
Ligi nyingine iko Dodoma - Dar kila ijumaa kuanzia saa kumi na mbili jioni.. au siku bunge linavunjwa... ni hatariiiiKama unataka ligi unapotoka DAR jaribu kufanya ligi na gari za magazeti ndio utajipima uwezo hao wote uliofuatana nao waoga.
Nikusahihishe kidogo nikuwa "nyinyi mnapenda kifo siyo ligi"Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.
Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana.
Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa.
Kuna hii route ya Arusha-Dar na ligi huwa inaanzia pale Njia panda ya Himo, wakuu kuna watu wanapenda kushindana sana, kwenye barabara.
Juzi kati hapa tumetoka Arusha kwenda Dar tulivyofika Pale Njia Panda ya Himo, kulikuwa kuna gari kama tatu ndogo, Mark x nyeupe, Murano moja nyeusi na Alphad ya Silver, plan niliyokuwa nayo nikupoteza muda pale Njia Panda, at least usumbufu upungue barabarani kumbe zile gari zilikuwa zinatafuta abiria wa Dar, mimi kwenye gari ninayoendesha tulikuwa watatu. Sikuwa na wazo la kuchukua abiria.
Ilivyofika saa kumi na mbili kama na nusu hivi yule jamaa wa Alphad akang'oa, baada ya kama dakika kumi, Mark X akang'oa.
Hapo nimepaki upande wa pili wa barabara.
Ukapita tena muda kidogo Murano akang'oa...Tukamaliza mambo yetu tukaanza kuondoka, nilijua nikipiga mashine vizuri nitaenda kuwatoa kabla hata hawajafika Same!!
Tumeanza kutembea sio kwa speed kali hiyo jioni jioni ya saa moja bado watu ni wengi barabarani na mibasi + magari makubwa mengi yakitoka Dar kuja Moshi, Arusha.
Haikuchukua dakika nyingi saana kufika Mwanga, nikaiona ile Murano ndio inaondoka, nikajua labda alikuwa anaongezea abiria, nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona. Giza linazidi kuongezeka naona na barabara inapungua jam.
Tumepita Lembeni kwenye Kivuko cha treni jamaa wa Mark X akaovertake kwa speed kali kuianza Tambarare flan hivi kuelekea Same, hapo ndio ikawa shughuli hakuniacha mbali sana, kabla ya sehemu inaitwa mgagao Murano akaniovertake akaenda akaovertake na mark x..
Baada ya Murano kunipita nikagundua Mark X kaongeza speed zaidi kwasababu alianza kuniacha kwa mbali kidogo.
Nikagundua hawa watu kama vile wanafanya ligi hapo road, nikaamua na mimi kujihusisha nao, ule mtiti haukuwa wa kawaida Tukaanza kutembea sasa pita nikupite ikaanza, jamaa wa Mark X tulikuwa tunamuacha sana...
Mpinzani wangu mkubwa alikuwa jamaa wa Murano, hadi tunafika Korogwe, kwenye kona yakuelekea Old Korogwe, kuna beria, tukamkuta jamaa wa Alphad pale na gari nyingine ndogo mbili, zote zinaenda Dar, ebwana eeh kama ni ligi ndio ilikuwa kama vile inaanza piga nikupige,
Jamaa walikuwa wanatoa changamoto sana, hata kusinzia huwezi muda wote unawaza kumtangulia aliyeko mbele yako na kutokukubali aliyeko nyuma yako akupite! Huu mfumo ulifanya tukafika Dar mapema sana! Huu utaratibu wa Ligi kwenye hii barabara sijui kama ni wa kila siku, Kuna mashindano sana.
Ni barabara yenye ligi tena matata sana.
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
Tuhakikishie kama umeandika haya ukiwa umefika Dar .. maana haya mambo hayaendi bila mtuWakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.

Ni wale wanaotumia Noah?
Katika hizi gari ulizotaja sijui M5/Subaru wild/Porsche 911 gt3 wewe unamiliki ipi kati ya hizo?Zote hizo ni low life cars.
Why not Subaru Wild vs BMW M5? Au BMW vs Porsche 911 gt3?
Mbeya - Makambako ni km 170 tu.... ukitembea kwa 160kph haizidi dk 80, plus matuta na vitu vingine. By the way Dar Mbeya ni km 820 tu. Ukipiga hata average ya 100kph ni masaa 8. Ukiachana na Kitonga + Iyovi, maeneo mengine yote kama usiku unapiga 140-160 bila shida.Hebu tuandikie wino mate tuweke pembeni, Mbeya -Makambako mlitumia mda gani na hiyo private? Yaani hapo umekimbia hadi mate yamekauka mdomoni nakupa masaa mawili kwa upendeleo! Je Makambako -Dar ulitumia masaa matano?[emoji23][emoji23]
Sijakuelewa mkuu..una km 170 alaf ukitembea kwa speed ya 160kph itatumika muda gani?Mbeya - Makambako ni km 170 tu.... ukitembea kwa 160kph haizidi dk 80, plus matuta na vitu vingine. By the way Dar Mbeya ni km 820 tu. Ukipiga hata average ya 100kph ni masaa 8. Ukiachana na Kitonga + Iyovi, maeneo mengine yote kama usiku unapiga 140-160 bila shida.
Hahahah ulipotaja Amazon basi ikawa imeisha hio. Nautambua uongozi wa mnyama huyo.Yeah niko na amazon moja td manual gear 6 af inasoma mph sikwambii utamu wake mkuu
170km kwa 160kph ni kaman dk 70Sijakuelewa mkuu..una km 170 alaf ukitembea kwa speed ya 160kph itatumika muda gani?
Iyovi ni kona kona flani hivi zinazokeraMbeya - Makambako ni km 170 tu.... ukitembea kwa 160kph haizidi dk 80, plus matuta na vitu vingine. By the way Dar Mbeya ni km 820 tu. Ukipiga hata average ya 100kph ni masaa 8. Ukiachana na Kitonga + Iyovi, maeneo mengine yote kama usiku unapiga 140-160 bila shida.
From Singida to Dar, nilikuwa siendeshi mimi.Ligi nyingine iko Dodoma - Dar kila ijumaa kuanzia saa kumi na mbili jioni.. au siku bunge linavunjwa... ni hatariiii
Zile ndio kona za kujidai, hakuna tochi wala askari km kama 50 hiviIyovi ni kona kona flani hivi zinazokera