Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Yeye ni private car na sio ya Magazeti.
Miaka ya 2015 kuna jamaa alikuwa anaitwa Mangi(Mtoto wa meneja TRA) aliendesha gari L/C Prado ilikuwa imeibiwa Vwawa mpaka Songwe umbali wa kama km 47 kwa kutumia dakika 15 na akaiacha hapo baada ya mafuta kukata.

Huyu Chalii wa R alikuwa maarufu sana kwa kuchezea gari na spidi.
 
Maana yake huyo jamaa on average speed yake ilikua 3.1km/min na maana yake alikua ana-cover metre 52/second(yaani kwa sekunde 1 gari inakua imekimbia imemaliza umbali wa nusu ya uwanja wa mpira).

How is that possible boss?
 
47km/0.25h=188kph
Kwa maan hii jamaa alikuwa anaendesha 188kph kwa ile Prado, sijui ni zile za Kichagga au hizi zenye macho kama paka!
 
Inawezekana kwa sababu ukiwa unatoka Vwawa kwa barabara ya Tunduma/Zambia kwenda Mbeya eneo alilopita na gari sehemu kubwa ni miteremko.

Ngoja nikupe ufafanuzi kutoka hapo Vwawa anakutana na mlima kidogo eneo la Mbimba/Tacri kisha anakutana tambarare umbali mrefu anapita Kalasha anakuja shuka mteremko anapandisha kilima kidogo anaikuta Mlowo anashuka mteremko mkali na kukutana na kilima hapo anatembea na tambarare baada ya hapo anakuja kukutana na mlima mkubwa wa Senjele hapo anateremka mpaka kwenye daraja la mpaka wa Songwe/Mbeya kisha anapanda mlima na baada ya kumaliza mlima mkali sana baada ya huo mlima hatua chache gari ndio ilipokutwa.
 
Kuna siku mimi natoka korogwe usiku mishale ya sa 1.. Nafika korogwe town nakutana na raia wanakula pale kilimanjaro na mimi nikaingia kula natoka nje wale jamaa mmoja alikuwa na prado TX, mmoja alikuwa na crown, mwengine yupo V8 ila ya serikali... Mimi nipo na discovery 4 aisee sitokaa nisahau maana waliniacha mimi nilichelewa kula... Wakati natoka nikawa na lengo lakutoka nduki ili niwai moro... We nikakutana na hao jamaa apo juu aaah kubabeki... Ilikuwa sio poa maana nilikanyaga adi mi200 speed... Nikawa nyuma ya V8 nikaja kumkata..msolwa ile shotcut akanikata nilisimamishwa na trafic nimemalizana na traffic sikumuona mpaka nafika moro aisee... Ila tulifika mapema sana around sa 4 nipo moro
 
47km/0.25h=188kph
Kwa maan hii jamaa alikuwa anaendesha 188kph kwa ile Prado, sijui ni zile za Kichagga au hizi zenye macho kama paka!
Umbali nimekadiria hizo km 47 maana kitambo nimepita huko.
Nimecheki Google Map mpaka eneo la mbele ya hapo Songwe Hill ni Km 46.

Kwa makadirio hapo gari alipoiacha itakuwa kama kwenye km 40.
 
Odometer ni kipimo tu cha speed, ila haimaanish ndo top speed, magar mengi ya japan yanakimbia sana kuliko ya germany ila mengi yana kuwa limited kutokana na sheria za japan
Kwahiyo zile zinazodisplay at dashboard let say kisahani kizima ni 180 ni zaidi ya hizo?
 
Yaani nilivyosoma tu hadi nimemeza mate, maana hamna kitu naenjoy kama ligi niwapo barabarani daah kunoga
 
Kwahiyo zile zinazodisplay at dashboard let say kisahani kizima ni 180 ni zaidi ya hizo?
The engines can do more but the car is electronically limited to 180kmph according to japan law.

Angalia post ya juu. Kuna mtu ameweka picha akiwa na Crown 180kmph ipo kwenye 4000 rpm wakati inaredline at 6500rpm

Maana yake hata akanyage mafuta vipi engine haitaenda zaidi ya 4000rpm kwasababu ya electronic speed limiter.

Ila ukiiondoa hiyo electronic limit, gari itafika mpaka red line 6500rpm at max gear utajikuta kwenye 220 kmph.
 
Ligi za barabarani ndio ilikuwa michezo yangu but toka nimeoa na kuwa na familia nimepunguza manake naogopa kupasua nyanya/kupata ajali.....
Hereinbelow is one of my race nikiwa na Crown Athlete....
I was a dumb mthefcker racer...
Hii ndio effect ya electronic speed limiter according to sheria ya japan ambako ndio tunanunua magari.

The car can give much more, but it won't

Ifuatayo ni Toyota Yaris - Hii ni Toyota Vitz built for the American Market. Same everything except haina electronic speed limiter.

Below post pictured at 200kmph and redline 6000rpm. Vitz - 200kmph. It has given its all.
 
Kama anaendesha gari za gazeti inawezekana.
Mimi nina jamaa alikuwa akiendesha gari kutoka Dar kwenda Mbeya kwa masaa 7:30 mpk 8.
[emoji23][emoji23][emoji23] usitudanganye bhana labda kama ni Mbeya ya Iringa
 
Vits
yaris_1.5T-sport_600_320.jpeg
 
Hahah kuna cruiser ya polisi ilijaribu kuikimbiza STI aisee jamaa alikua anampigia chafya hapo nyuma hatari.
wa kupuliza STI ndio IST ?
POLISI huwa hawafukuzi gari hasa kwa hizi njia kuu ni simu tu tena hizi za mitandao, mbele utakuta barrier, hebu jaribu kuitoroka tochi usikie muziki wake
Hawa Traffic wana controlroom huko Dar wanapokea Nchi nzima na kutoa Maagizo
 
Unabisha kaulize muda wanaotumia waendesha gari za gazeti Dar Kwenda Mbeya kisha uje upinge hapa.
asibishe kabisa, Magazeti ya kesho yanachapishwa leo na saa 4 usiku gari zimeondoka zote lafajiri wapo Arusha Singida, Mbeya Tabora wanasoma magazeti, hizo gari ni ACHA KABISA na zinarudi tena Dar siku hiyo hiyo kuchukua tena
 
Back
Top Bottom