Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

wa kupuliza STI ndio IST ?
POLISI huwa hawafukuzi gari hasa kwa hizi njia kuu ni simu tu tena hizi za mitandao, mbele utakuta barrier, hebu jaribu kuitoroka tochi usikie muziki wake
Hawa Traffic wana controlroom huko Dar wanapokea Nchi nzima na kutoa Maagizo

Ni subaru wrx sti bro.
 
asibishe kabisa, Magazeti ya kesho yanachapishwa leo na saa 4 usiku gari zimeondoka zote lafajiri wapo Arusha Singida, Mbeya Tabora wanasoma magazeti, hizo gari ni ACHA KABISA na zinarudi tena Dar siku hiyo hiyo kuchukua tena
Hazirudi siku hiyo hiyo. Zinageuza jioni ya siku hiyo.

Mnatoka Dar saa 6 usiku mnafika Arusha saa 2 asubuhi. Dereva anageuza saa 9 jioni saa 6 yupo Dar. Kesho usiku saa 6 anaanza e.t.c

Huwa zinapishana.

Ni mahiace na manoah ya kawaida mkuu ila madereva ndio wanajiamini san.
 
Ok hapa Dodoma mm nakutana na za POSTA nyekundu zikishaashusha kwa Forts na pale Guardian zinapitia parcel POSTA zinageuza Dar siku ya pili hizi, mpaka dereva wao mmoja alipata ajali nikagundua
hivi kumbe Makampuni ya magazeti yanapeleka tofauti au ni parcel zote pamoja
 
Huko kwa Posta sijui. Gari za gazeti however zinabeba pia parcels za ofsi flani ya shipping na mizzigo ya watu binafsi.
 
Sio wewe nimekuona kwenye uzi fulani hivi unasema Dar -Arusha unatumia 4:30 hrs na kwamba unatembea 130-150Kph usiku?
 
Miaka ya 2015 kuna jamaa alikuwa anaitwa Mangi(Mtoto wa meneja TRA) aliendesha gari L/C Prado ilikuwa imeibiwa Vwawa mpaka Songwe umbali wa kama km 47 kwa kutumia dakika 15 na akaiacha hapo baada ya mafuta kukata.

Huyu Chalii wa R alikuwa maarufu sana kwa kuchezea gari na spidi.
Acha uongo...hizo Ni stori za vijiweni..nani alikuwa na timer au stopwatch?
 
Ni jambo linawezekana hata nilipoenda songea niliwahi sikia kuna mwamba aliitwa Giriki aliwahi fika songea saa 10 jioni...na ailiwekwa ndani wiki nzima.Kipindi hiko hakuna tochi kama sasa sheria hazibani kama sasa kwahiyo usibishe mkuu inawezekana.
Ulilishwa maneno labda kama lilianzia mikumi
 
Kuna mabasi yalikua yakiitwa City Boy Dar - Kahama na pia Kisbo Tabora/Kahama - Dar yalikua ni hatari City Boy yaliwahi kufungiwaga
 
Back
Top Bottom