Hii tabia wanaume wengi wanayo

Kinachoniudhi ni kukuta mtu ni mfanyabiashara halafu anajidai kukuletea mapozi kisa ameona wewe ni mtu serious katika maisha...
Hahaha!... wanajaribu kupata uhakika wa pesa na wakiingia kufanya biashara jinsi watafaidika na wewe kama mdhamini/mwekezaji wao!
 
Hii sired n kama imenilenga
Maana kama namfukuzia dem mwez
Mmoja ndo aje akubali walaaaaah wabilah baada ya kupewa tunda hata mm naonesha maringo yang
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmh. Rafikii
 
Sesten Zakazaka sijaona neno lako huku. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa, kasoro mimi tu Hajar, speed yangu ni ileile kwa nimpendae....wakati naanza kumfukuzia, wakati kashanipa "mzigo", na hata baada ya hapo ni speed 320πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€,
 
Hahahaaa, kasoro mimi tu Hajar, speed yangu ni ileile kwa nimpendae....wakati naanza kumfukuzia, wakati kashanipa "mzigo", na hata baada ya hapo ni speed 320πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€,
Wacha Weeee.

Hahahaaa. Na kweli kasoro wewe tu japokuwa kwa mbaali waeza kuta na wewe ni mkumbo huo huo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] maana nimesoma Post za watu humo. Duuh. Ni hatari.

Ila Wanaume Mungu anawaona kwa kweli.
 
Wacha Weeee.

Hahahaaa. Na kweli kasoro wewe tu japokuwa kwa mbaali waeza kuta na wewe ni mkumbo huo huo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] maana nimesoma Post za watu humo. Duuh. Ni hatari.

Ila Wanaume Mungu anawaona kwa kweli.
Unajua kuna methali nyingine zimeshafutwa hazitumiki tena Hajar? kama ile ya "samaki mmoja akioza basi ni wote wameoza"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
Kwani nyinyi wanawake amzijui akili zenu jinsi mnavyo ishangiliaga ccm wakati wa kampeni Kwa vidoti Vya kanga na buku 7 baada ya kampeni mnatelekezwa kama mbwa koko na sisi wanaume tunatumia mbinu za ccm kwenye jambo hilo Kwa sababu akili zenu finyu ukiona mwanaume anakuonga sana wakati wa kukutongoza usidhani anakupenda au atasana uenda itakuwa sababu ya kukutema baada ya kukupata akikumbuka taabu aliyo pata wakati anakutongoza anajua umempendea hela
 
Sasa kwa nini umtese mtu usiyempenda si bora umwambie ukweli kuwa sista sikupendi ila nataka kibunye kuliko kumpamba na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa??
 
Huwa mnajishtukia tu,elf 15 ya kusuka nayo ni hela ya kukufanya kumuacha mwanamke,acheni ubahili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…