Hii tabia wanaume wengi wanayo

Uliona wapi mchezaji anayefunga goli anasimama tu ndio ilivyo kwa wanaume nao wanakimbia kushangilia
 
akikaa kimya mtafute mwisho mara tatu akijifanya hana akili nawe fanya yako mpotezee kabisa.mwanaume mjinga asiejitambua wa nini..na ujue huyo hafai
 
akikaa kimya mtafute mwisho mara tatu akijifanya hana akili nawe fanya yako mpotezee kabisa.mwanaume mjinga asiejitambua wa nini..na ujue huyo hafai
Kweli kabisa
 
kwani ukishavua unampa tena samaki chambo ?? au chambo unatumia vulia samaki wengine
 
Mabinti mnapenda sana kusifiwa. Mtoto wa kike hata akiwa mbaya vipi, umampamba kwa maneno mazuri hadi anajihisi yupo juu. Akifika hapo juu sasa, anaanza kukuona hata wewe upo chini.

Kiufupi hayo maneno yanatumika kama kilainishi ili muingie kingi. Mana kama ulivyosema mnapenda mtu anaeonesha anakupenda, sasa tutakujaje kwa sura za uadui.
 
Kweli mkuu, huwa tunabadili mawazo usumbufu ukizidi 😀.
 
Pia usisahau kuna baadhi ya wadada akujua anapendwa sana na mvulana anageuka kuwa mwiba kwa mwenziye
 
Wanawake wasumbufu tu,kuna moja alinivutia,kakataa weee,nikanyamaza baada ya mda kajileta mwenyewe,ishu inakuja sasa kila baada ya tendo anadai anataka hela,mara kusuka,mara vile vitu kibao.

Naona live nachunwa,nikabadilika ghafla sina time na kumwambia nimekuchoka.

Nimemdanganya kwamba nina mtu,sasa hivi analeta kipapa kiwizi nakula halafu haombi hela kisha anaondoka fasta akidhani nina mtu.

Kupenda mwanamke sometimes inahitaji moyo
 
Kinachoniudhi ni kukuta mtu ni mfanyabiashara halafu anajidai kukuletea mapozi kisa ameona wewe ni mtu serious katika maisha...
 
Ungeendelea kumnyima tu mpaka atoe mahari
Hamjifunzi tu
Basi liwe onyo kwa watoto wenu
 
Ukishamvua samaki na kumla, outcome yake ni kinyesi, huwezi kula kinyesi hicho pale njaa na hamu ya samaki itapokuja tena, bali unaingia chomboni kwenda kutafuta samaki ingine
 
Ngoja nikujibu sasa maana post ya juu nimefanya mitani. Tatizo kubwa linalowafanya wanaume watimue mbio wakishapewa ni kukimbia majukumu. Maana wanawake wa siku hizi wanawakabidhi wapenzi wao majukumu ya mume ilhali wao hawatekelezi majukumu ya mke. Mwanaume mwenye nia ya kuwa na uhusiano wa muda mrefu na wewe ukishaanza kumkabidhi majukumu hayo basi na wewe tekeleza ya mke. Vinginevyo unampoteza. Shida ya wadada wa leo unamtongoza mchana jioni kakuita mume kesho mama anaumwa au kodi imeisha. What a coincidence? Yaani matatizo hayo yalikuwa yanasubiri nikutongoze? Kama wanawake hawatabadilika basi njemba zitaendelea kupita tu. Bahati mbaya zaidi sasa hivi ukitongoza demu inakuwa kama vile umekopa hela. Maana kila siku ni mwendo wa kudaiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…