Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,101
- 165,294
Hii story tuiache tu pending ntalia hapaProffesor anasema. ..ki vp Evelyn Salt ...???? Ilikuwa je ..??
nami nikilia sinyamazi unaeza dhani nimelewa...
Hii story tuiache tu pending ntalia hapaProffesor anasema. ..ki vp Evelyn Salt ...???? Ilikuwa je ..??
ooh utaachwa mkavu ukose hata chenji ya kuzimulia asubuhi....Shem kumbe nijipange vizuri
Utahamaje nae wakati hakutaki, angekutaka asingeleta jeshi lake
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! kitendo chake cha kuja kwenye mualiko wa Dinner unakichukuliaje? Kuna kesi kama hii ilitokea lakini hawa walikuwa wapenzi tayari. Mrembo akatia timu ya warembo sita kwenye mualiko. Njemba kuona vile ikatoa manoti ya kumtosha mrembo wake kasha ikasepa. Mrembo aibu tele kwa warembo wenzake. Baada ya kufuatilia na kujua kulikoni njemba kufanya vile. Njemba akamwambia mie nilikualika wewe iweje uje na rafiki zako chungu nzima? Mrembo akaomba samahani na kudai njemba hakuwa na sababu ya kuondoka bali kumwambia tu na hivyo yeye angewaambia marafiki zake wajiondoe katika mualiko ule.

Proffesor anasema ... inakera sanaaaa brother
Sasa umeshaongea na mrembo kwamba hukupenda alichokifanya? Au umeamua kufa na tai shingoni kwa kuogopa ukimwambia anaweza kusepa na kukutangaza? mwanaume mwenyewe bahili kupita kiasi!!! lol!!!
Proffesor anasema. ... Hakuna haja ya kuongea naye tena mkuuuuu wakati anajua kbsa kwamba alicho kifanya sio sahihi kabsa. .!! Kwa sasa naamua kumpotezea taratibu. .!!
Haya banaaa kila la heri katika kumpotezea taratibu, kumbuka kosa moja haliachi mrembo, hasa kama umempenda kwa moyo wako wote.
Proffesor anasema ... so mkuuuuu ungekuwa wewe ungevumilia hiyo mambo... wengine tuna count vitu vidogo. .!!
Proffesor anasema. ... st anna , dompo, savanna dry , fubu na fayrouz ....!!! Ki ukwel walinikomoa aiseeeeKiufupi hakuhitaji, hujamvutia na ameanza kukuchuna. Na amekujia na hao wenzie ili hata kumtongoza ushindwe kabisaa. Walikuwa wanakunywa nini? Senene au St.Anna?
Sikupi pole maana huo ni uzoefu. Getting experience is very expensive Kamanda. Sema mwisho wa wasichana kama hao ipo siku utakutana nae amechoka hadi utamuonea huruma na atakuwa anakutafuta yeye. Wewe kata mawasiliano kiustaarabu ibaki salamu tu. Akitaka kukuona mwambie upo busy maana anaweza kufulia at anytime akaona akuchune kwa mpesa. Kiufupi upo busy na hutumii e-moneyProffesor anasema. ... st anna , dompo, savanna dry , fubu na fayrouz ....!!! Ki ukwel walinikomoa aiseeee
Hua naona sana mtaani...
Sikupi pole maana huo ni uzoefu. Getting experience is very expensive Kamanda. Sema mwisho wa wasichana kama hao ipo siku utakutana nae amechoka hadi utamuonea huruma na atakuwa anakutafuta yeye. Wewe kata mawasiliano kiustaarabu ibaki salamu tu. Akitaka kukuona mwambie upo busy maana anaweza kufulia at anytime akaona akuchune kwa mpesa. Kiufupi upo busy na hutumii e-money
Bado miss ila usije kunifanyia ivi
ahahah sijawahi ila nitajaribu kupata uzoefu
Ok jaribia kwangu ila uje na wale wasioweza kula sana