Anaogopa utamnyonya damu..(joke), anyway kama bidada hakufahamu vizuri ni ngumu kukuamini especially kama mazingira ya kukutana yalikuwa ya kawaida (yaani tunaokutana nao mtaani ambao unaanza kujitambulisha jina lako, kabila, unafanya kazi wapi na unakaa wapi) lakini wale ambao unakuta tumeshaonana nao mara kwa mara ila hatujawa nao karibu hao mara nyingi akija anakuja bila shida na hata nyumbani anaweza akaja mkapiga story na akasepa kwa kuwa already anakufahamu angalau by 50% hivyo pale kinachofanyika ni kujenga ukaribu tu