Huko ni kukosa ustaarabu..! Mdada yeyeote aliyestaarabika hawezi kufanya hivyo viroja..!
Mamamaaaeeeh!! Watoto wa Kigogo ndiyo wamekubuhu kwa tabia hii, halafu wanabugia pombe hao hatari kabisa!! Ningekuwa mimi ningekumbukia enzi za usela wangu!! Unalipa bili ya uliyemwalika tuu, hao wengine waseme na bajeti yao
Esimermi huruma watoto wa wenzenu....si umwambie tu haumtaki asikufuatilie kuliko kukomoana na kuharibiana bajeti..He he he kuna jamaa mmoja nishawahi kumwendea na mashost zangu 6 na mie wa 7
tulikula kama paka wa bar, jamaa alininyamazia tangu siku hiyo
Wanaume mmeumbwa mateso acha tuwatesehahahahahaha nina
Ukiona mtu kafanya hivo kimbia usigeuke nyuma
He he he kuna jamaa mmoja nishawahi kumwendea na mashost zangu 6 na mie wa 7
tulikula kama paka wa bar, jamaa alininyamazia tangu siku hiyo
Nyie si ving'ang'a....Esimermi huruma watoto wa wenzenu....si umwambie tu haumtaki asikufuatilie kuliko kukomoana na kuharibiana bajeti..
Proffesor anasema. .. sasa kwann ulifanya hivyo. .?? Kuna sababu gan msichana kufanya hivyo. .??
Unahamia meza nyingine na mrembo wako, unamwambia awaambie mashoga zake katika mualiko wa dinner hawakuwemo. Hii ndio itakomesha hizi tabia za kishenzi.
mateso mengine yakisenge+nyaji sana......Wanaume mmeumbwa mateso acha tuwatese
Hujataitiwa wewe, jamaa mmoja nae alijifanya hana adabu kama jogoo kumpanda hadi mama akeKwani me nashindwa kuwatongoza wote kwa wakati mmoja? Ila hapo kutoa offer ndo sijui itatokea lini
Ndo hivo hadi ubahatishe kukomesha ushakomeshwamateso mengine yakisenge+nyaji sana......
ila kuna makauzu wanawakomesha...
Hujataitiwa wewe, jamaa mmoja nae alijifanya hana adabu kama jogoo kumpanda hadi mama ake
kanitokea mi na sista angu, tukamfanyia NIITE TUJE
bahati yake alikuwa na gazeti alifunika uso wake hadi tunaondoka
tuliagiza pale bar hadi bikini walizopitisha ma chinga tulichukua
Unahamia meza nyingine na mrembo wako, unamwambia awaambie mashoga zake katika mualiko wa dinner hawakuwemo. Hii ndio itakomesha hizi tabia za kishenzi.
Utajaribu nini?Hahahah siku moja nitajaribu
Kama ulijifanya kujishaua una hela kwa kumweleza mipango mingi ambayo haimhusu lazima watakuja wengi tu ku-test kile ulichokuwa unamwambia though wengine wanakuja wengi kwa sababu za kusalama tu hasa kama mazingira ya kukutana kwenu ni ya kwenye daladala lakini kama mmekutana kwenye event flani mkawa mna-share experience zenu au mazingira ya kukutana kwenu yamesababishwa na marafiki wenu hapo hawezi kuja na kundi kwa kuwa ana sehemu ya kufanya reference kuhusu wewe