Hii tabia sio kabisa wadau

Hii tabia sio kabisa wadau

Haaa haa haaa , pole sana ndugu yangu , miwanawake mingine bhana , sijui ikoje. Unakuta umelitoa out , linataka vitu vya ghari. Fyuuuuuu
Sasa unataka umtoe mtu out akaagize spaleta?
kama una hela za mawazo tulia nyumbani acha mbwembwe za kujifanya mtu wa ma outing na vijisent vyako
 
Hiyo inaitwa NIITE TUJE
ukiona dem anakufanyia hivo chapa lapa hupendwi hapo wakikaa wanakonyezana tu
wanakuchamba kwenye vimeseji "shost jamaa yako yupo yupo tu kama paka wa balozi kantangaze"

Kumbeeee hapo nimekusoma
 
Nitajaribu kumpa demu offer ya dinner kama profesor, kwani wanaweza kumaliza bei gani?
Inategemea na jeshi lake lipo vipi
kama ni ka dent bahati yako make utalipia vichips
kama ni makwekwerekwe ya town shem utakoma....
 
Alinitongoza nikakataa ananikomalia tena binti wa watu mdogo tu bado navaa sketi ya marinda
form two hiyo, ananifata hadi canteen ya shule, ananirubuni na ki siemen mie
nifanyeje sasa?

Proffesor anasema. ... watu 6 na wewe wa 7 .. hiyo n zaid ya kukomoa Evelyn Salt. .nahis hakukutafuta tena.
 
Haaa haa haaa , pole sana ndugu yangu , miwanawake mingine bhana , sijui ikoje. Unakuta umelitoa out , linataka vitu vya ghari. Fyuuuuuu
wengine tunawazoesha wenyeye, unajifanya chekibob kumbe huna lolote.......ptyuuuu kwa stail hii atakama mkabashingo lzma ukabweshingo
 
Last edited by a moderator:
Hujataitiwa wewe, jamaa mmoja nae alijifanya hana adabu kama jogoo kumpanda hadi mama ake
kanitokea mi na sista angu, tukamfanyia NIITE TUJE
bahati yake alikuwa na gazeti alifunika uso wake hadi tunaondoka
tuliagiza pale bar hadi bikini walizopitisha ma chinga tulichukua

Proffesor anasema. .. we Evelyn m zaid ya noma
 
Haaa haa haaa , pole sana ndugu yangu , miwanawake mingine bhana , sijui ikoje. Unakuta umelitoa out , linataka vitu vya ghari. Fyuuuuuu

Proffesor anasema. . Afu hapo mkuuuuu hela ya tax wanataka pia uwape.. alisema hajawah panda bajaj.. coz nilitoa option ya wao kupanda bajaj
 
Hahahaaaaaaa!! Pole proffessor but ninamashaka na wewe, kama ulijitutumua kama kabila fulani ivi ndo maana aliarika team!!
 
He he he kuna jamaa mmoja nishawahi kumwendea na mashost zangu 6 na mie wa 7
tulikula kama paka wa bar, jamaa alininyamazia tangu siku hiyo

Ukaona umemkomoa sana? Au ulimwambia mtakuja saba??
 
Ukaona umemkomoa sana? Au ulimwambia mtakuja saba??

Sikumwambia alishangaa tu kazungukwa kama mtuhumiwa
tena na sanifu juu kila mtu " mambo shem"
shem wakati hata tongozo halijajibiwa
 
Proffesor anasema. .. we Evelyn m zaid ya noma
Kuna siku na mie nilikomeshwa weee hata spaleta sikulamba
nauli nikanyimwa nilitembea kwa mguu moja mbili mpaka home
nilifika nimechoka ulimi nimeutoa nje kama wa mbwa, home msosi umeisha
sitasahau wallah....chozi lilinilenga!!!
 
Hahahaaaaaaa!! Pole proffessor but ninamashaka na wewe, kama ulijitutumua kama kabila fulani ivi ndo maana aliarika team!!

Proffesor anasema ... no kawaida kabisa niliingia .. yaan kawaida .. hiyo team sijui kaitolea wap.. isingekuwa m-pesa nngeaibika hiyo jana
 
Kuna siku na mie nilikomeshwa weee hata spaleta sikulamba
nauli nikanyimwa nilitembea kwa mguu moja mbili mpaka home
nilifika nimechoka ulimi nimeutoa nje kama wa mbwa, home msosi umeisha
sitasahau wallah....chozi lilinilenga!!!

Proffesor anasema. ..ki vp Evelyn Salt ...???? Ilikuwa je ..??
 
Back
Top Bottom