Hii style ya kuvaa naipenda sana!

Hii style ya kuvaa naipenda sana!

1013458_4828328426594_1487111543_n.jpg
 
Nilianza ku edit kabla sijasoma mistari yako mkuu. Daah! nimeahirisha maana umemaliza kutoa elimu ileile niliyotaka kutoa kwa hawa nyaga watoto wa shangazi.
Dawa ya hawa machepele ni kuwapa mifubata tu!!

Kamata tano mkuu...
 
Mkuu kizuri hakikosi doa ni safi sana lakini mavazi hayo siyo ya kuuzia kahawa hayo ni ya kutongozia mademu na kwa dizain hiyo mbona utawachota kama kumbi kumbi na kama kuuzia kawa basi ni uvai kofia ya baragashia fulana ya singld na msuri kama kikoi na viatu vya kial latii yaani ni vya makubazi basi hapo tena utaona watu wanaegombania hiyo kahawa na hiyo haluwa ya maharuki na pongezi sana
 
Lazima alishaugua akapona sasa hivi anatumia dawa.
 
Back
Top Bottom